Msaada Mwanangu ananifirisi...

Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unamwambia nani kuhusu KUSHINDWA kumlea mtoto wako wa MIAKA MIWILI?
 
Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiombe tu ushauri bali yawezekana kasha anza kuangalia porno za YouTube so wewe ni kama mwehu tu huwez kuzaa alaf ukaomba ushaur Wa kitoto kama huu
 
Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mzimie data alafu mwambie skmu mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom