Mtoto umleavyo ndivyo ananona.Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo si ulitaka chai iweje ulalamike unaungua?
Sent using Jamii Forums mobile app
anzisha sasa kosa ili umchape, mfano:
Yaani wewe unaogopa kilio cha mtoto anayelilia bando?unapiga ngwara moja anatulia halafu unampa utaratibu mzima.Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hao wazungu hawawapi watoto wao wadogo simu wastream youtube wanawapa vitu vianvyoendana na umri wao.Marehemu Steve Jobs na kuwa CEO wa apple lakini hakuwa anaruhusu watoto wake kutumia vitu kama iphone au ipod katika umri wao halikuwa haruhusu kabisa.Mtoto kama huyo ungekuwa mtaalam wa IT unamfungulia computer lab, anaweza akaja kuwa wa maana sana baadaye.
Daah wazungu wametushinda mengi.
Akili za kiafrica hapa zinawaza dogo kudundwa tu. Sijui nani wakuja kutuokoa.
Afrika mtoto akiwa mtundu anaonekana hafai.
Msaidie dogo huyo.
Mtoto wa miaka mitatu anakuumiza kichwa akifika 16 je?Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app