Wewe mdanganye siku akijua kilink cha zeutamu atajuta..Nunua laini ya ttcl ya kulipia bando la mwezi kwa ajili ya internet bila kikomo
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umemaanisha kweli auMwekee bando ya kutosha na umwekee picha la pilau a.k.a picha la X.
Mara atakapoona huo mtifuano hatakuwa na hamu tena ya kuangalia video kupitia you tube.
hahaaa
Hiyo ndio the best solution,nina uzoefu na ubobezi kwenye childhood development!