Msaada. Mtu nisiemfahamu kadeposit fedha kwenye akaunt yangu

Chunga sana. Hawa watakuwa na m-pesa paswd yako.wanachukua pesa wanaamishia kwenye a/c yako then wanadraw.nina rafk yangu polis yuko kitengo cha money laundering & cyber security.amekamata watu weng wasio na hatia.kuna mtu wameingiza kwenye ac yake 2 elfu na kakamatwa kaesabiwa mil 7.yeye hajui lolote. Pambana na maneja na baada ya bank statment nenda polis.ni atari kubwa chukua taadhari
 
Thanks kaka, nitafanyia kazi ushauri wenu manake haya mambo si mchezo
 
Back
Top Bottom