Msaada mtu anayetengeneza Biosand Filter au Slow Sand Filter

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
habari wadau?

natafuta mtu anaeweza kutengeneza hizo filter ( locally)

naombeni mnielekeze au ushauri niende wapi kwa hapa dar

shukrani
 
Back
Top Bottom