Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

😂😂😂😂😂Daaah kuna mafaza humu ndani hawapendi serious kabisa an
 
Wa
Ni mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
Watu mizaha, ana umri gani mkuu naweza nikakuunganisha na mshikaji mmoja, mwanangu alianza kusumbuliwa na ngili akiwa na miaka2. 5,nikamlambisha kizizi mara moja tu mpaka leo
 
Nilijua akazaliwa na mbupu moja so nimekumbuka ng'ombe dume aliyekuwa ivyo alikuwa ni mkali mno yaani kazi kuwapiga wenzake, yaani anatembeza vichwa ni balaa ujue
 
Ni mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
Pia ungetaja na umri wa mtoto.
nb. humu kuna watu wengi sana wana changamoto ya akili,utapewa majibu mengi sana ya kejeli lakini kuna watu timamu pia watakushauri vizuri
 
Back
Top Bottom