Basi huyu ni timamu wa nguvu za kiume.Hahahaha lazima hiyo
Ndege Joni hela yangu usisahauBasi huyu ni timamu wa nguvu za kiume.
I'll drop it soon.Ndege Joni hela yangu usisahau
Hapa sasa ndio nimeelewa. Mwanzo nilitoka kapa.Pumbu mkuu
We unazo zote mkuu🥺 , pole lakinNi mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
Kama pumbu imekwamia tumboni mwanangu mpaka ishushwe kwa upasuaji! Mungu tutamsingizia!Atapona tu ni suala la muda mwili waa mtoto au mtu yoyote unajijenga wenyewe haujemgwi na Daktari ungekua mwili unajengwa na Daktari Papa asingekufa maana Madaktari wamehangaika wameshindwa ngoma ngumu
Kwa hio hapo mpaka apigwe kisu?Kama pumbu imekwamia tumboni mwanangu mpaka ishushwe kwa upasuaji! Mungu tutamsingizia!
Hakika ingawa siku hizi teknolojia zimepanuka sana wanaweza kuwa na njia mbadala labda!Kwa hio hapo mpaka apigwe kisu?
Atapigwa nini kiwembe?Hakika ingawa siku hizi teknolojia zimepanuka sana wanaweza kuwa na njia mbadala labda!
Kwanini? 😂😂😂😂yaani ukiingia jf,hata kama uwe na mawazo gani yataisha,hata ukiwa peke yako,ukisoma baadhi ya komenti za wadau lazima ucheke.
Bas mie najuaga busha ndo hernia. Lol1: Ngiri kavu=hernia
2: Ngiri maji=busha/hydrocele.
Em apiaa.dawa ni wewe
Ndio baby...🥰Em apiaa.
Komwee acha sifa, 😂😂😂😂Ndio baby...🥰
Nimetokea kudata na huba lako coca!.. wala sipendi sifa mi napenda sifa zako!Komwee acha sifa, 😂😂😂😂