Msaada: Mtoto wangu ana hasira sana

Msaada: Mtoto wangu ana hasira sana

Mkanye na mpe adhabu kulingana na umri wake. Madhal anajua kukasirika hadi akavunja vitu, ukimkanya atajua kama anavofanya sivo. Nenda nae hivo hivo taratibu, kadri akikua atakua anapunguza mwisho ataacha.
 
Ndugu wana-Jamvi,

Mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi nane lakini anakabiliwa na tatizo la kuwa na hasira hasa pale anapoona amecheleweshewa kupewa kitu mfano kama uji au juice.

Unaweza kumpa juice ikiisha anakitupa kikombe au chupa au anaenda kwenye kabati anatoa kikombe anakipasua basi roho yake inakuwa imetulia. Sasa jambo hili linanipa wasiwasi endapo ataendelea kuwa na hasira za namna hii.

Kama kuna tiba yoyote naombeni msaada.

mpeleke jeshini akikua
 
ama chukua majani ya mnyomnyo na aloveera chemsha kila akikusirikia mlazimishe kunywa

usiogope ataarisha siku yakwanza hizo ndio hasira zenyewe baada ya three days atakuwa poa kabisa

mpe maji ya kutosha kila anapoarisha,, hasira zingine ziko tumboni ngumu kuzitoa kwenye hali ya kawaida
 
mkuu asikuumize kichwa, mkodie yule house girl wa uganda atamnyoosha tu.
 
Tabia ni moja kati ya traits ambazo mtoto hurithishwa kutoka kwa wazazi, hivyo hasira kama tabia nayo mtoto hurithi...

Pia inaaminika kuwa watoto wa kiume huwa na tabia ya kufanya vurugu za hapa na pale wanapokuwa wakikua, kuvunjavunja vitu ni moja ya vurugu hizo...

Je mwanao ni jinsia gani?

Kama ni wa kiume basi kwa sasa ni ngumu kujua kuwa hicho alichonacho ni tabia ya hasira auni sehemu tu ya ukuaji?
Dah, mimi nina dume langu lina miaka 2 linasumbua kweli mpaka wakati mwingine inabidi nilichape! Lina dada yake ana miaka 4 huwa linamfanyia fujo hadi anabaki analia tu mda wote yaani tabu tupu! Ngoja tuone I hope kadri linavyokua litatulia!
 
ama chukua majani ya mnyomnyo na aloveera chemsha kila akikusirikia mlazimishe kunywa

usiogope ataarisha siku yakwanza hizo ndio hasira zenyewe baada ya three days atakuwa poa kabisa

mpe maji ya kutosha kila anapoarisha,, hasira zingine ziko tumboni ngumu kuzitoa kwenye hali ya kawaida

Unataka kuniulia mwanangu wewe Pdidy
 
Last edited by a moderator:
Mkanye na mpe adhabu kulingana na umri wake. Madhal anajua kukasirika hadi akavunja vitu, ukimkanya atajua kama anavofanya sivo. Nenda nae hivo hivo taratibu, kadri akikua atakua anapunguza mwisho ataacha.

Thanks Angel Nylon
 
Last edited by a moderator:
Akifanya hivyo tena mchape ama mgombeze muda huo huo kabla hajasahau alichofanya. Na uhakikishe kwamba anagundua umechukia sana kwa kitendo alichofanya. Wakati mwingine fanya kama unampotezea, hata urafiki nae hutaki kwasababu anataka kuwa na tabia mbaya, mbona atajirudi mwenyewe.

Hasira or not, mtoto lazima awe shaped mapema. Na ukimwadhibu mara mbili tatu utaona anapunguza mpaka kuacha hiyo tabia. Wengi hufanya kama njia ya kumpima mzazi. Wangu alianza kujitupa tupa chini eti hasira na wakati mwingine unampa kitu anatupa. Nilipambana nae wee, sasa hivi hasira zake anaonyesha kwa njia nyingine.
 
dah, mimi nina dume langu lina miaka 2 linasumbua kweli mpaka wakati mwingine inabidi nilichape! Lina dada yake ana miaka 4 huwa linamfanyia fujo hadi anabaki analia tu mda wote yaani tabu tupu! Ngoja tuone i hope kadri linavyokua litatulia!


litatulia kama utatulia hayamambo ni spirit ukiona hivyo angalia na wewe wapi unamkosea mama fudenge
dunia kwaheriiiii

naitwaaa na yessuuu

cc:remmy ongala
 
Unataka kuniulia mwanangu wewe Pdidy



Haahaaa Ntonye hiyo nidawa ndio maana wachaga wana akilisana madarasani
Inasfisha brain nahasira zote mwilini
 
Last edited by a moderator:
JF sometimes kuna vituko hata kama ulikuwa hutaki kucheka utacheka tu!!!

Hahaaa hujuiii mpwa bila Jf
Ungeshakimbia Ndoa ukija huku ukikutana nawalimu wa kiswahili malawyer wa pdidy n advocate ukachanganya na huyu lazima ucheke hata ukipigwa ngumi na mwenzio
Sio wote wanapenda kukesha humu

Wengine wito tuwezelinda Ndoa zenu na na kuondoa hasira kwawale Wenye nsongo wa mawazo
 
Mpeni vitu anavyovihitaji kwa wakati.....hata mimi huwa nauzika nikiwa nataka kitu lakini sikipati kwa wakati......hasa hasa nikiwa na njaa....na ndio ulikuwa ugomvi mkubwa kati yangu mimi na mama.....
 
Dah, mimi nina dume langu lina miaka 2 linasumbua kweli mpaka wakati mwingine inabidi nilichape! Lina dada yake ana miaka 4 huwa linamfanyia fujo hadi anabaki analia tu mda wote yaani tabu tupu! Ngoja tuone I hope kadri linavyokua litatulia!

kama una dume linatikisa nyumba adi faza hausi unakaa kushoto angalia sana.
 
Kwa uelewa wangu mtoto anaweza kuwa na hasira sababu kuu zikiwa mbili.
1-wakati mama akiwa mjamzito hamkua na mawasiliano mazuri hiyo ikamfanya mwanamke kuwa na hasira muda mwingi na stress zisizoisha,hii humuathiri mtoto moja kwa moja,tiba hapa ni kuwa karibu na mtoto na kumwonyesha upendo ili kupunguza msongo aliozaliwa nao.
2-Malezi limekua tatizo kubwa,unamlea mtoto kama yai,lazima ujue mtoto anaanza kuwa na utambuzi akiwa na miezi 4 mpaka 5 pale anapoanza hata kuchagua watu wa kumbeba,ukichunguza kipindi hicho akifanya kitu kibaya ukimfoka atalia au ataogopa na hapo ndo tunapofanya makosa,mtoto anakosea kitu hata kumwonyesha kwamba hakufanya vizuri unamwacha ukijidai bado mdogo,tabia hukuzwa,nimekuwa na jirani yangu ana kitoto kina mwaka na nusu kina tabia mbaya sana,kinampiga makofi mama yake,kina kiburi yani tabu tupu,ukimwambia mbona mwanao hivyo anasema bado mdogo ataacha,mpaka majirani hawataki acheze na watoto wenzake,akikosea ukamfoka au kumfinya umenunua kesi kwa mama yake,mnakosana kabisaa,me binafsi nina kijana ana mwaka na nusu ila anajua kwamba hiki baba hataki na hiki nitafinywa na mama yuko well kabisa,ila kwa kosa ambalo najua umri wake bado huwa natafuta namna ya kumsaidia,sio unaona kitoto kinavuruga nyumba kinagombana na wenzake na matusi juu bado unasema akikua ataacha pole.
 
huyo mtoto jinsia gani?mpe kaadhabu kanakolingana na yeye pole...
ila mtoto anaelilia msosi safi sana hongera kwa hilo
afu umeadimika kumbe unalea!!!!
 
Back
Top Bottom