Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Mkuu hilo suala limekaa kisaikolojia zaidi, binafsi nakushauri kama utapata muda wa ziada mpeleke kwa wataalamu wa saikolojia watakupa ufumbuzi wa maana.
Nami naunga mkono hoja hii. Ni vema kuomba ushauri kwani huenda ni dalili ya maradhi ambayo yakijulikana mapema bi vizuri. Endapo ni hasira za kawaida ( according to wataalam) basi watakushauri ufanye nini kama mzazi kwani hatua nyingine zinaweza zidisha tatizo.