Msaada: Mtoto Wangu Amemeza Sarafu ya Sh 50

Msaada: Mtoto Wangu Amemeza Sarafu ya Sh 50

Mkuu acha wasiwasi n by the way hata mm nilipokuwa mtt nakumbuka niliwahi kimeza sarafu enzi zile cjui ilikuwa ni shs ngapi ila nakumbuka ckuwa na courage ya kumwambia mama about that incident coz mama alikuwa mkali ka mbogo nilihofu angenichapa sana so nilikausha na nakumbuka nothing bad happened nadhani niliitoa kene haja kubwa tuu
 
Wana JF, muda mfupi uliopita mtoto wangu wa miaka minne amemeza sarafu ya sh 50. Hasemi kama anapata maumivu yoyote. Nifanyaye kumsaidia?

Usiogope itatoka kwa njia ya haja kubwa kuna dogo mmoja alikuwa na miaka 4alimeza sh mia wakampeleka hosp wakapewa dawa ya kulainisha choo ikatoka pole.
 
nilishameza sh 1 niliyopewa kama sadaka nikiwa kanisani, nikiwa na umri wa miaka kama 3 na ushee but mpka sasa nipo poa tu na kutokana na kukaa kijijjini mambo mengi huwa yanachukuliwa simpo...mfano ukiumia unaambiwa kojolea na life linaenda....infact my parents walinambia hawakuchukua hatua yoyote na nipo fresh zaid ya miaka 45 now

una miaka 45,ulimeza sarafu ya mia 1 ukiwa na miaka mi3,sarafu ya mia 1 imetoka lini? Mmmh
 
Kuna watu mna majibu ya ajabu sana humu ndani. Hivi ni lazima mchangie kila thread? Kukaa kimya ni hekima pia wadau.
 
usihofu itatoka kwa haja kubwa, kuna dogo aliwah meza msumari wa nchi tatu na kesho yake akaenda haja kubwa ukatoka!
 
Mkuu Mzalendowetu kama nafasi ikikuruhusu njoo utupe update za mtoto anaendeleaje? Je, ulienda naye hospitali?
 
Last edited by a moderator:
usjali ataikunya tu.. kuna dogo alimeza goroli na sh 10 akainya sembuse 50..
 
Nadhani haina shida sana ila nashauri umpeleke hospitali apewe dawa ili aitoe isije ikamletea shida tumboni. Si unajua hiyo ni foreign body tena coin. Anything might happen. Uwe na tahadhari take the child to a specialist (Pediatrician).
Wana JF, muda mfupi uliopita mtoto wangu wa miaka minne amemeza sarafu ya sh 50. Hasemi kama anapata maumivu yoyote. Nifanyaye kumsaidia?
 
Wana JF, muda mfupi
uliopita mtoto wangu wa miaka minne amemeza sarafu ya sh 50. Hasemi kama
anapata maumivu yoyote. Nifanyaye kumsaidia?

atakuwa anachezewa na majirani mpeleke kwa mganga.
 
Nishakula ela sana utoton sjui maputo,mpaka sindano km unamoyo potezea ataitoa kwa haja kubwa ila ikikaa vibaya huko tumbon nishydah wahi hospitali
 
Mpeleke hospital, akafanyiwe kipimo itaonekana imeshuka mpaka wapi then watajua cha kufanya Mimi mtoto wangu weak iliyopita alimeza betri ya remote nilimpeleka hospital walifanikiwa kuitoa.
 
Back
Top Bottom