utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
umeona eeeh hata hivyo kashamvunja moyo mwenzake
yako naweza kukagua
Haina shida kabisa, au ungeanza na laptop, kwenye simu utakuta sms zako tu
umeona eeeh hata hivyo kashamvunja moyo mwenzake
yako naweza kukagua
Haina shida kabisa, au ungeanza na laptop, kwenye simu utakuta sms zako tu
Nyengine sio muhimu ndo mana nafutagazangu tu mmmmmh utakuwa mfutaji wewe
Nyengine sio muhimu ndo mana nafutaga
hhahahaha haya bhana za mwizi 40
Kumbe wewe sio mfuatiliaji wa bunge, mbona za mwizi zishaongezwa? Sasa 80
hahaha haya bhna usiombe kukutwa na bwanapepsi lol
Ndo nani tena huyu?
hahahhaa askari mpelelezi
Anaitwa nani?
Wana JF, muda mfupi uliopita mtoto wangu wa miaka minne amemeza sarafu ya sh 50. Hasemi kama anapata maumivu yoyote. Nifanyaye kumsaidia?