tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
JJJJuj jjnjjlj
JJJJuj jjnjjlj
Wana JF, muda mfupi uliopita mtoto wangu wa miaka minne amemeza sarafu ya sh 50. Hasemi kama anapata maumivu yoyote. Nifanyaye kumsaidia?
Sarafu tu? Usijali inatoka
View attachment 176531
alipona???
Yeah kapona
aiseeeeee bahati yake na wewe usije ukajaribu hii ukikutwa tz utafia kwenye foleni ya kumwona dokta lol
Hahahaha miss neddy S4 utalimeza kweli? Labda uliloweke siku mbili
hahahaha jaribu kufanya mazoezi kabisa ukikutwa iwe rahisi lol
Miss neddy naweza kuona simu yako nikague sms?
kama unataka kesho unikute ICU njoo ukague
What????? Hapana dear kua na amani na kwa usalama zaidi weka password kila kona
hahahhaha mi sichepuki simu naweka peupeeee lol hivi yule binti na boyfriend wake sijui waliendeleaje baada ya kupona
Yule alikua anachepuka ndomana kafanya vile. Angua mkweli angekua huru