barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
Huu upuuzi sijui utaisha lini kwa Watanzania, maombi?Mkuu pole sana , jitahidi uende kwenye maombi
Huu upuuzi sijui utaisha lini kwa Watanzania, maombi?Mkuu pole sana , jitahidi uende kwenye maombi
Kumbe ni shida hii? mwanangu siku ya kwanza kumuona analia alikua na mwezi mmoja na nusu, alilia baada ya kuchomwa sindano, kabla ya hapo si kuwahi kumuona analia hata siku anazaliwa hakulia, alipata shida alivunjika bega pamoja na hilo hakuwahi kulia hataTatizo hatujui kwanin halii na hospital wanasema mtoto yuko vizuri hana shida
Inategemea mnamuona naniTatizo hatujui kwanin halii na hospital wanasema mtoto yuko vizuri hana shida
Hizi hospitali zetu hizi eti hana tatizo wanapotosha, mtoto ni lazima alie, mwanangu hakulia ila walitumia mashine kumfanya alie... Kingine local staili huwa wana mkamata mtoto miguu wanambinua kichwa chini wanapiga kwenye nyayo na mtoto analia,Mtoto anakaribia kufikisha mwezi toka azaliwe lakini hajawahi hata kulia wala kusema nini tatizo tumejaribu hosptali nyingi wanasema hana tatizo !! Msaada
Yaani ningekuwa na wew karibu ningekutia kwenzi! Kwenye maombi wapi? Kwa gwajima? Hawa wajasiria tumbo? Huyo mtoto onana na wazee wako wa mila! WatakusaidiaMkuu pole sana , jitahidi uende kwenye maombi
Kumbe ni shida hii? mwanangu siku ya kwanza kumuona analia alikua na mwezi mmoja na nusu, alilia baada ya kuchomwa sindano, kabla ya hapo si kuwahi kumuona analia hata siku anazaliwa hakulia, alipata shida alivunjika bega pamoja na hilo hakuwahi kulia hata
lilivunjika au liliteuka?Kumbe ni shida hii? mwanangu siku ya kwanza kumuona analia alikua na mwezi mmoja na nusu, alilia baada ya kuchomwa sindano, kabla ya hapo si kuwahi kumuona analia hata siku anazaliwa hakulia, alipata shida alivunjika bega pamoja na hilo hakuwahi kulia hata
Fuata ushauri hapa.... Utaona positive changes...Hizi hospitali zetu hizi eti hana tatizo wanapotosha, mtoto ni lazima alie, mwanangu hakulia ila walitumia mashine kumfanya alie... Kingine local staili huwa wana mkamata mtoto miguu wanambinua kichwa chini wanapiga kwenye nyayo na mtoto analia,
Lilivunjika, mfupa uliopo katikati ya bega na shingo viliachana kabisalilivunjika au liliteuka?
Waliniambia ana 7 ila iliandikwa 5 ili akae kwenye uangaliziMwanao aliscore ngapi alipozaliwa?
Waliniambia ana 7 ila iliandikwa 5 ili akae kwenye uangalizi
Ila pia inawezekana ni nature ya mtoto tu sio mliajiSawa, niliwahi kuangalia kipindi katika Television mtoto pia hakulia hadi anafika miezi kadhaa na ikaonekana ana shida katika mwili wake kwamba unashindwa kuhisi mfano baridi, joto, maumivu sehemu na hata kushika vitu vya moto.
You can't speak of nature and stay put waiting for it to remedy.Ila pia inawezekana ni nature ya mtoto tu sio mliaji
oh my!!! kwanini?? alivutwa na vyuma? how is he?Lilivunjika, mfupa uliopo katikati ya bega na shingo viliachana kabisa
hata ukimpa makonzi?Ila pia inawezekana ni nature ya mtoto tu sio mliaji
Hapana hakuvutwa kwa vyuma alishikwa tu hata sijui what happened, nilikuja kujua siku ya saba naona mfupa umetokeza kwa juu ya ngozi kama vile uvimbe,oh my!!! kwanini?? alivutwa na vyuma? how is he?