Msaada: Msichana wangu amekuwa na 'mikosi'

Msaada: Msichana wangu amekuwa na 'mikosi'

Death z natural, so let it happen Jah bless

Kufukuzwa kazi aaaahaaa kama ni tz haishangazi, kwani hii ni tanzaniano ya vyeti feki, darasa la saba, vyeti vina utata, majina yenye utata, nida na payrol havifanani, i guess na kesho uhakiki wa vyeti vya ndoa!!!

Kwahyo ondoa shaka mkuu, kuibiwa simu labda ni msongo wa mawazo kwa hayo maswahibu ikampelekea kuwawekea mazingira wezi kuichukua, Lastly believe believe believe in God!!!
 
kwahiyo huo ndio mkosi? mtu kuibiwa, mtu kufiwa ndio mkosi? badala ya wewe kumfariji na kumtafutia simu mpya, unashangaashangaa ati ana mikosi? we utakuwa mshirikina wewe. shwaini we! naomba kwanza namba yake tukusaidie kumfariji, mikosi ikiisha atarudi kwako...i promise!
Mkuu acha kuropoka soma vizuri na pia haya mambo yametokea kwa kipindi kifupi sana na kazi kafukuzwa
 
Hizo ni changamotoo za maisha tu mkuu, wala msikate tamaa kamwe. Hiki ndo kipindi cha kushikamana na kuonyesha jinsi unavyomjali. Mtangulizeni Mungu kwenye kila jambo mnalofanya, hakika hatawapungukia...

Poleni kwa matatizo
Asante sana mkuu
 
Mkuu acha kuropoka soma vizuri na pia haya mambo yametokea kwa kipindi kifupi sana na kazi kafukuzwa
Wewe utakuwa na shida nimeanza kukusoma. Tafuta washirikina wenzio wakusaidie
 
Baba kufariki ni lazima ingetokea hata kama asingekuwa na wewe...

Kama alikuwa karibu sana na baba labda ilipelekea kukosa umakini kazini ... au kazini walikuwa wameshaamua kumwachisha kazi sema imekuja wakati baba yake naye kasepa
Baba yake ndiye aliyemtafutia hapo lakini walikuwa hawamtaki au akidhi vigezo baada ya baba kuondoka ndiyo muda sahihi wa yeye kutolewa .

Swala la kuibiwa simu ya 1.5 ni kawaida tu wezi wanaotea bila ya kujali kama ni yatima au mjane..

Kama upo fresh na mnapendana anzeni kufikiri namna maisha yataenda na si kuamini mikosi mkuu....
 
Asante sana kwa ushauri wako mzuri miss chagga
 
I hope mko poa,

Niko kwenye mahusiano na binti kwa mda wa mwaka mmoja na nusu sasa juzi juzi tuu baba yake mzazi alifariki dunia.

Sasa baada tuu ya mzee wake kufariki dunia ameingia kwenye majaribu makubwa kweli anapatwa na mikosi mikosi na juzi hapa kafukuzwa kazi bila sababu ya msingi wamemuibia simu ya milioni moja na nusu yaani mambo yake yamekua ovyo tunashindwa kuelewa.

Naomba ushauri jamani
Aende kwenye Maombi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I hope mko poa,

Niko kwenye mahusiano na binti kwa mda wa mwaka mmoja na nusu sasa juzi juzi tuu baba yake mzazi alifariki dunia.

Sasa baada tuu ya mzee wake kufariki dunia ameingia kwenye majaribu makubwa kweli anapatwa na mikosi mikosi na juzi hapa kafukuzwa kazi bila sababu ya msingi wamemuibia simu ya milioni moja na nusu yaani mambo yake yamekua ovyo tunashindwa kuelewa.

Naomba ushauri jamani
Fanyeni maombi kwa nguvu zenu zote na mkemee huyo pepo mchafu na ufanye haraka sana kabla hamjapigana kibuti coz wewe naona unataka kuleta janja ya nyani umwache mtoto wa watu uje utuambie hapa kwamba ni mwendelezo wa mikosi yake, saasawa kijana
 
Ajitazame upya tu,.. Apige maombi yakutosha maisha yatakua poa
 
Fanya mambo kama mwanaume hayo mambo ya kawaida we ndo wa kumtia moyo....mbona mnakuwa kama sio wenyeji wa hii sayari??
 
Changamoto katika maisha hazikwepeki, kufiwa,kufirisika, kukataliwa n.k. Asikate tamaa Mlango mmoja ukifungwa kumi inafunguliwa.
 
Back
Top Bottom