dstv ndio mpango mzima, nenda ofisini kwao watakupa majibu yote.Habari. Wakuu mshua anataka amia digitali kwa kununua king'amuzi.Ni kipi kizuri kati ya hivo vyote? Kuanzia bei yake, ya malipo kwa mwezi (cheapest), channels za uhakika (ata kama chache, ziwe nzuri) na kisichosumbua sumbua.
Location Iringa.
kwan unatmia nin,sa hv nina startime na continental vyote upuuzi tu
Habari. Wakuu mshua anataka amia digitali kwa kununua king'amuzi.Ni kipi kizuri kati ya hivo vyote? Kuanzia bei yake, ya malipo kwa mwezi (cheapest), channels za uhakika (ata kama chache, ziwe nzuri) na kisichosumbua sumbua.
Location Iringa.
Acha maswali ya kipuuzi, katika jukwaa lenye heshima ambalo halina mambo ya kipuuzi ni hili. Our fellow asked about which decoder to buy and the best you can come up is this rubbish?chuo mnafungua lini
unaijua slogan ya invisible?chuo mnafungua lini
Mkuu mkombozi wa kweli ni dish hivyo ving'amuzi ni kuibiana tu, star times watu tunalipia local channels kwani hizo nyingine hasa za habari wamiliki hawaziuzi zipo free lkn bongo ndio biashara mfano aljazeera, hivyo ni bora kuwa na dish kuepuka malipo ya kila mwezi. Pitia pia matangazo ya Azsky G6 ili upate uelewa zaidi
i can see that you are taking a responsibility which is not yours, you are a member like any other, so relax and mind your own business as long as i did not use any profanity, i have a right as you have to post anything, no rules brokenAcha maswali ya kipuuzi, katika jukwaa lenye heshima ambalo halina mambo ya kipuuzi ni hili. Our fellow asked about which decoder to buy and the best you can come up is this rubbish?
ipi hiyo??unaijua slogan ya invisible?
Nakushauri ufunge dish za FTA.
Well no rules broken ,but the thing is this is the only forum where we provides solutions to any problem and everything is seriously dealt with,saying that i second what donlucchese pointed out!.i can see that you are taking a responsibility which is not yours, you are a member like any other, so relax and mind your own business as long as i did not use any profanity, i have a right as you have to post anything, no rules broken
Well no rules broken ,but the thing is this is the only forum where we provides solutions to any problem and everything is seriously dealt with,saying that i second what donlucchese pointed out!.
Kinyooshe kama kimepinda and for the records mi ni mshamba 100% and proud of it!kiingereza chako mbona kimepinda sana bro!
acheni ushamba humu twazungumza kiswahili