Msaada: Mpenzi wangu nahisi ni tapeli

Msaada: Mpenzi wangu nahisi ni tapeli

Na wewe ni mtoto lkn, kwanza ana wanaume wengine, pili hanashida na wewe. Siku nyingine ukikutana nae kula k hiyo kama hutakutana nayo tena maana wakati mnapoa chana anapeleka kwa mwingine.

Usimpe vitu vya gaharama mpk ukamkumbuka. Akikuletea kula k mlipe kinachomstahili mwache aende funga mlango wako
 
Pole hayo mashuka usimpe tena yatumie mwenyewe. Usimtafute fanya maamuzi ya kumwacha
Ninayo nikamwambia nanunua nakuletea nimefika nampigia simu hataki kupokea mwisho kazima simu, na nikimpigia hapokea na sms hataki kujibu.
 
Mkuu hapo hakuna namna mpige chini. A meshagundua unampenda atakusumbua sana.
 
Kuna wale wanaibaga mbegu za kiume wanaondoka nazo, ukiachana na huyo utakutana na na wa aina hiyo. Kifupi umekutana na msela mwenzio, tofaut yake tu ni kwamba wewe umezama kwa msela mavi
 
Kuna wale wanaibaga mbegu za kiume wanaondoka nazo, ukiachana na huyo utakutana na na wa aina hiyo. Kifupi umekutana na msela mwenzio, tofaut yake tu ni kwamba wewe umezama kwa msela mavi
 
Mrekebishe polepole huwezi jua alikotoka kayapitia yapi:
 
Kumbe....nimekumbuka jambo! Uaminifu ni jambo jema sana inalipa
Uaminifu ni jambo zuri ukiomba pesa kwa mpenz wako kwaajiri yakutatua jambo basi jambo hilo lionekane umelifanya, baadhi ya wanaume tunafatilia kujua je mpenzi wangu nilimpa pesa yakununua mfano nguo au simu je kanunua! Tukiona ujafanya lolote basi tunajua hauna malengo
 
Bado unamwita MPENZI??? Mimi nadhani mpenzi hawezi kuogopa kukuambia babe nimeipenda perfume naiomba au achukue vitu bila kusema
Kwa maelezo yako huyo ni MDOKOZI au KIBAKA
Wanaume tuna changamoto sana. Unakuta unafanyiwa ivyo lakini demu akija kitandani anakupa mambo ya uswazi hadi unasahau jina lako mwenyewe. Unajiona na wewe ni tapeli tu so mmekutana. Hapa hata tumshaurije lazima atabaki na huyo mwizi wake. Labda atupe bed profile kidogo ndo tutajua tunapambana na mtu wa sampuli ipi
 
Back
Top Bottom