Always in troublekei fo laifu ageni.
Na wewe Mwanga haina haja ya kuhamaWakuu naishi kota za kupanga hapa Changombe, upande ninaokaa kuna jirani yangu chumba cha jirani ni mama mtu mzima hivi ni mshika dini sana sana.
Cha ajabu juzi nimeamka saa 8 usiku na kutoka nje ghafla nikamkuta mama huyo akiwa juu ya bati uchi wa mnyama huku kashika ngozi ya fisi na kibuyu alikua kajipaka masizi na kavaa hirizi iliyokua inapumua.
Aliponiona akageuka paka na kupotea.Nataka kuhama hapa.
Wakuu naishi kota za kupanga hapa Changombe, upande ninaokaa kuna jirani yangu chumba cha jirani ni mama mtu mzima hivi ni mshika dini sana sana.
Cha ajabu juzi nimeamka saa 8 usiku na kutoka nje ghafla nikamkuta mama huyo akiwa juu ya bati uchi wa mnyama huku kashika ngozi ya fisi na kibuyu alikua kajipaka masizi na kavaa hirizi iliyokua inapumua.
Aliponiona akageuka paka na kupotea.Nataka kuhama hapa.
Huyu jamaa pumba kabisamtu yuko juu ya bati ukaitambua ngozi kuwa niya fisi Na uksona hiriz ikipumua ?? peleka kwa watoto wenzio hizo stori
akiwa mchawi wewe shika dini! hakuna cha kuhama!
kama wewe ni rc, hakikisha unasali kabla ya kulala, mwagia nyumba/chumba chako maji ya baraka, weka rozari na vitu vingine ndani. lakini fanya yote hayo kwa kumuamini mungu yupo na huyo mama hatokupata
ataishia uangalia tu kwako
Wewe sasa unamdanganya mwenzio.Maji ya baraka na Rozari?!Kweli wajinga ndio waliwao.