cjajaribu kwingine,ila moderm znakufa kwan kwa kutumiwa kwa mda mrefu eg siku nzima
ukijaribu kwenye compyuta nyingine tatizo linaendelea?
najua hapo sielewi,uta upgrade je firmware wakati modem hata ukienda device manager kwenye ports haionekani,,,kuna thread nyingine ya modem kila mtu ana-suggest hiki kitu,,,tuelezeni basi hapo vizuri,,yangu ni airtel e153hilo tatizo sio geni, kweli hata ukiweka kwenye kompyuta nyingine uwa zinazingua tu hazikubali, mimi nnachofanya uwa na upgrade firmware zinatinga kama kawa maana hili tatizo lipo kwenye modem za huawei hasa zile za tigo