Msaada: Moderm yangu ya airtel inanitesa

DEWJI

Member
Dec 7, 2012
70
8
jaman naomba msaada wa hali na mali jinsi ya kuanloack moderm ya airtel model E173u-1 ili niweze kutumia katika mitandao yote yaani napata tabu sana naombeni msaada wenu
 
pitia uzi wa zaman unaweza kupata, je hiyo modem yako imei yake ni seriea ya ngap 86 au 35
 
Back
Top Bottom