Msaada: Mnafanyaje mambo yenu yaende poa?

Ushauri bora kabisa
 
Mpe Yesu maisha yako. Mengine atayafanya akiwa ndani mwako. Yeye ni mwanasaikologia namba moja duniani.
 
Nimepitia koment baadhi kila mtu ameshauri kwa namna yake lakini kuna mambo mengine mengi watu wanayafanya kama desturi ya maisha ya binaadam ila kwa hayo ndio tatizo linaanzia hapo, Je ni watu wa aina gani unashiriki nao ngono,? Jua unaposhiriki ngono na mtu mwingine basi kunafanyika mageuzi katika nafsi, Hivyo mizigo na laana zote ambazo wewe unazo na huyo unaeshiriki nae zinaingiliana wewe unachukua mizigo na maumivu yake, nae anachukua mizigo na maumivu yako yote. Kinachotokea hapo nguvu za ndani mwako zinafurugwa na huo mwingiliano, unapofanya biashara hazitaenda sababu ya zile roho ulizobeba wakati wa mlipojamiana, Chunguza watu unashiriki nao ngono ndio uje kwenye uchumi wako.
 
watu wanasema eti keep praying? uombeee kwan wew wakwanza kuomba?? uyo Mungu akusikilize wew kulko wagonjwa mahospitalin na mayatima?, easy& clear unataka mafanikio njia ni hizi
..[emoji117]fanya kazi yoyote bila aibu
then
..[emoji117]kile ulichopata chukua sehem yake itakayoumiza moyo wako na ukaitoe sadaka, na kutoa sadaka si uko makanisani wala msikitini, bali sehemu effectively ambayo ukipeleka kwel unakuwa umegusa uhitaji,
sehem hiyo inaweza kuwa kilingeni, nyumbani kwenu kwenye mizimu ya ukoo wako, kwa mayatima, wajane wanaohitaji si kila mjane ni muitaj, na si kila yatima ni muitaj wengine unamsaidia lkn anaenda kuiba ama anakukaba hata wew, wagonjwa usiowajua, wanajera uko kifungoni, masikini na walala hoi ambao wanahitaj msaada, ujue kuwa si kila masikini ni muhitaj, wengne unawasaidia lkn wanakusengenya baadae ama kukuchawia, la mwisho ni kurudisha mkono wa asante wa wale waliokulea utotoni kama ni mzaz,mlezi amayeyote yule,

kwa kufanya haya unakuwa ume apply law ya give and receive after paying what hurts, and wht you're responsible to do then you rewarded great than u did

[emoji117]..la mwisho ni jifunze kufanya money saving na kuboresha kile unachokifanya kila baada ya muda,wekeza muda wako kujifunza uwekezaji wa kidogo unachopata, mafundisho yako mengi uko mitandaon, wapo walimu wengi uko mitandaon kama akina joel nanauka unaweza wafatilia hawa ukapata masomo muhimu sana ambayo hutowai yapata shule yoyote ile hapa dunian na ahera. mimi shahid siandiki kukufuraisha, naandika nachokijua.

note:- usipofanikiwa kwa hizi njia mzee kamtafte mchawi aliekuroga, na hutompata maana mchawi utakuwa ni wew mwenyew kwa kuvunja moja ya hizo njia hapo, hasa iyo ya ''saving"


Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
 
Mpe Yesu maisha yako. Mengine atayafanya akiwa ndani mwako. Yeye ni mwanasaikologia namba moja duniani.
acha uongo wew watu waliompa yesu maisha hawa ndyo namba moja kwa kuwa mafukala mitaani kwa kutegemea miujiza, hawa ndyo hukosa akili za utaftaji,,fnya kaz achana na kuhangaika kumpa maisha ambaye humjui

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
 
Usichoke kumuomba Mungu mpendwa. Kujaribiwa kwa imani zenu kunaleta utukufu kwa MUNGU. Afu pia nawiwa kukuambia kaa chini tafakari sadaka nzuri ya kutoa kwa MUNGU. Tafuta pale unapopata amani iwe ni unaposali au ulipo au wahitaji peleka sadaka.

Usianze kujiuliza sijui utaishije. Refer kwa mjane wa sarepta in case wewe ni mkristo. Narudia ongeza kasi ya utoaji. Sometimes katika kutoa ndo kuna password ya mafanikio. Kama huna kabisa basi mwekee MUNGU nadhiri.

Nakuombea imani yako isishuke katika kumuamini MUNGU. Lakini pia incase hujatengeneza maisha yako na Bwana fanya hivyo. 2nyak7:14. Mtafute MUNGU, ishi katika toba katika nyakati hizi za neema. Kama ni mwenendo unatakiwa ubadilishe fanya hivyo.

Maana naweza kukuambia sadaka, kumbe kuna mienendo yako ni mibaya..i don know what is up but i feel like we should both know these few stuffs.
 
Nashukuru sana mkuu
 
Ndugu upo ndani mno. Anahitaji afunguliwe kwanza. Atafundishwa Na Roho Mtakatifu akkshamkubali Yesu. Hapo hatakuelewa
 
Tatizo lako Mungu alikusaidie. Sijamwambia usifanye kazi. Pia sijamwambia nenda dini Fulani. Mimemwambia muamini Yesu. Akikutana nae atamuongoza yeye.
 
Umeongea mambo mazito sana! Haya mambo nimeyapitia na bado nayapitia ila yamepungua kwa kiasi Fulani naweza sema Alhamdullah.

Ila ni nyakati ngumu sana hadi unawaza ujitangulize mbele za haki.

Kama huna imani ya kweli kweli basi kuwa na imani ya Asili kweli kweli. Usiishi kizembe.

Wazungu wametupumbaza sana aisee!
 
Umenena vizuri! Haya maisha yanasiri nyingi sana.
Mambo ya imani kama hizi za wafia dini sijui makosa ya babu alipe mjukuu ni NONSENSE. Mleta uzi akitaka akate ringi kabisa aendeleze hayo.
 
Ni wachache tunaokuelewa! Wengi wanajifanya wafia dini na wakati huo hawana imani ya kweli.
 
Mpe Yesu maisha yako. Mengine atayafanya akiwa ndani mwako. Yeye ni mwanasaikologia namba moja duniani.
Mpuuzi wewe,huyo yesu alishindwa kuizuia mikono ya waisrael wasimuue, hatoweza kumsaidia mtu kwalolote huyo marehemu yesu
 
Mpuuzi wewe,huyo yesu alishindwa kuizuia mikono ya waisrael wasimuue, hatoweza kumsaidia mtu kwalolote huyo marehemu yesu
Neema yake ikuzukie bro. Hakuna atakayemzidi Saul lakini pia hakuna championi kama Paulo
 
Na je ukijamiana na mtu mwenye baraka na neema utazipata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…