Mizimu na tunayoibeba, mfano ukitembea na mwanamke Malaya , unaweza pata mizimu ya umalaya
Nimefanya uchunguzi, mungu hapendi watu wema, kuwa na roho mbaya, USISAIDIE yoyote, hapo utafanikiwaHabari zenu,
Ndugu zangu, mnaombaje kwa Mungu mpaka mnapata baraka tele. Mimi binafsi kila ninachogusa mambo hayaendi, stress kila corner mpaka kuna wakati unatamani ujiwaishe tu mbinguni.
I am working really hard and sitamani kukataa tamaa zaidi.Naombeni ushauri huwa mnafanyaje fanyaje mambo yenu yaende poa.
Asante.
Acha kusali Mungu ndio atakuonaNdugu yangu nasali lakini wapi...
Thank you.DoneTelegram channel: 247 Prayers Army - Jeshi la Maombi
Don't Work hard,find the way to work smart then you will thank me later .Habari zenu,
Ndugu zangu, mnaombaje kwa Mungu mpaka mnapata baraka tele. Mimi binafsi kila ninachogusa mambo hayaendi, stress kila corner mpaka kuna wakati unatamani ujiwaishe tu mbinguni.
I am working really hard and sitamani kukataa tamaa zaidi.Naombeni ushauri huwa mnafanyaje fanyaje mambo yenu yaende poa.
Asante.
Unasema Kichupa chako cha nyege kimejaa, ila midume ikija pm kukutongoza unawakataa, wanawake bhana DepalKeep on praying, wakati wako waja...
Hujasema mambo gani Ila? Stress kila kona how?
Mfanowe me siku hizi Nina vihasira vya hapa na pale, kuna muda naona Kama sijielewi 😁 Ila najua 7bu. Kichupa kimejaa sana... Hebu check na huko kwanza u boost akili.
Njoo inbox tusemezane. All is well.Habari zenu,
Ndugu zangu, mnaombaje kwa Mungu mpaka mnapata baraka tele. Mimi binafsi kila ninachogusa mambo hayaendi, stress kila corner mpaka kuna wakati unatamani ujiwaishe tu mbinguni.
I am working really hard and sitamani kukataa tamaa zaidi.Naombeni ushauri huwa mnafanyaje fanyaje mambo yenu yaende poa.
Asante.
Pole sana ndugu, One day Yes
Hiyo 4 na 6 nmeexperience mkuu! Umeongea fact sanaWala siyo kwamba wengine wanapendelewa ila kwa neema tu
1. Jiepushe kuwa na marafiki wa kupiga soga. Kuwa na marafiki wa kwenye kutafuta kazi, kuangalia fursa. Mnapigiana simu, kuna kazi fulani twende tukafanye
2. Penda kuchangamana na watu ila wenye malengo hasa angalia waliokuzidi umri au umri sawa ila malengo ya kutoboa
3. Usipende kubagua kazi. Mfano mm huwa sichagui kazi ili mradi iwe halali. Anza hata kukaanga chapati uza
Kadri unavyozidi kupambana ndiyo Mungu anakufungulia baraka
4. Siri ambayo ni ngumu na rahisi kutoboa. Kuishi mbali na ndugu, huko hakuna msaada wowote zaidi ya kujipigania. Lazima upambane utoboe
5. Kupunguza matumizi yasiyo ya msingi
6. Nyumba hizi tunazokaa huwa zina neema au mikosi. Unaweza kuwa kwenye lkn kila unachofanya hakifanikiwi ila nyumba nyingine ukafanikiwa
7. Usichoke kumuomba Mungu siku zote.
Okay...binafsi naamini majibu unayoyatafuta yako ktk hayo hayo unayoyafanya.I want my plans or hustle to work out.Kuanzia kwenye biashara or tender za kazi to be successful.
Mkuu, unaijua chumvi ya mawe? Mlumbalumba/kamfumbe? Ndulele/mtulatula? Mti wa kisanvu? Kama wavijua hivi njoo pm nikuelekeze Cha kufanya, amini tu! Hakuna kafara wala masharti ya hovyo hovyo!Hii ndo njia sahihi kuliko zote , mzee nipe Mbinu hata Mimi Nataka niondoe laana za mababu na wazazi,
Naaam [emoji41]Keep on praying, wakati wako waja...
Hujasema mambo gani Ila? Stress kila kona how?
Mfanowe me siku hizi Nina vihasira vya hapa na pale, kuna muda naona Kama sijielewi [emoji16] Ila najua 7bu. Kichupa kimejaa sana... Hebu check na huko kwanza u boost akili.