Msaada: Mme wangu hapendi kuoga!

Na hili joto la dar! sipati picha wale jamaa wawili wanavotoa harufu na uvundo lol??? Pole mwanakwetu. Bora awe anaoga wakati wa kulala asubuhi aende kazini bila kuoga, sababu amelala msafi
 

Unadhifu upo kwenye imani.
 
Mi kwa ushauri dada yangu uwe na utaratibu wa kuenda naye bafuni tena umuogeshe kwa manjonjo aone raha ya kuwa na wewe bafuni! Ila sasa ka choo ndo hicho hapo juu labda umkandekande chumbani.
 
anza kwa kumuogesha..... mpekue sehemu zote wakati unamuogesha, utashangaa atakuwa anata oga mara 3 kwa siku
 
mpake upupu kila siku jioni kwa wiki moja hiyo ni dozi kamili.
 
Dayuuum! Sister girl has her work cut out for her. I wonder what attracted her to him.
 
Hahahahahahahah lol
pole sana mami aeee.

Kuna kijana aliniambia yeye hapendi
kuoga kila siku sababu si afya na hataki kuwa mweupe.. ... mtu kama hapendi kitu ata make any excuse asifanye....

Hembu mmnyime kwa mwezi..
hata nyumba ndogo hatatafuta sababu hakuna ampendae mtu mchafu..
 
Umepata ushauri mzuri sana wa kununua beseni kubwa ambalo atakuwa anaogea chumbani kwani nijuavyo mimi mazingira ya uswahilini ni kero hasa kwa mtu mwenye aibu ni vigumu kwenda kuoga mara kwa mara. Pia jalibu kumwulizia vizuri kuhusu nini kinachomsababisha asipende kuoga mara kwa mara atakueleza sababu ya msingi.
 
Teh teh teh teh teh!leo nimecheka sana!au kama vp uwe unamwagia maji ya shombo kila akitoka kazini,inaweza saidia.
 
Jamaa atakuwa anaogopa kukonda huyo,ila lakini ni mzuri kwa sababu anabana bajet ya maji na ngwaji.
 
mhm apa kuna tatizo, ningekuwa wa kule USWAHILINI NINGESEMA KUNA JAMBO APA
 
Kwani Ameanza Lini Kutokuoga? Wakati Wa Uchumba Alikua Anaoga?

Anaway Jitahidi Kuwa Innovative; Mpe Maji Ya Moto, Muogeshe, Hakikisha Anafanya Mazoezi Jioni Ili Aoge Kilazima,


..........On the second thought.............................
naruhusiwa kucheka??????????????
...........On the third thought............................

mhm apa kuna tatizo, ningekuwa wa kule USWAHILINI NINGESEMA KUNA JAMBO APA
............And another thought......I think wazee wetu wa zamani walikuwa na maadili sana........Hii ingekuwa siri ya ndani ya ndoa. Walivumilia mengi duh............................mume/mke kikojozi kitandani, anayekoroma.........ah
 
hayo ndio mapungufu ya mumeo,learn to accomodate....stop nagging akioga once inatosha ila nimecheka sana hii mada 😛ound:
 
teh teh inabidi uwe na maji ya kumpiga passport size unamkanda unayaweka chombo kidogo navijitowel angalau fukuto likupungue shosti teh teh aah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…