Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

is she good in bed?
anajipamba sawasawa yani ile wanja unakaa mahali pake?
ananukia full time?
WATU WENGINE WAMEZALIWA KWA AJILI YA KUWA MAHALAIT HASA!
ikubali tu hiyo species ya mkeo!
huwezi kumbadili sasa!

Wewe unaongea kama mwarabu. Imani za kizamani hizi siku hizi tunabadilika, Mwanamke sio pambo ndugu yangu. Hivi kuna anayefikiria kama mimi humu kweli.

I'm out
 
eti kalipiwa ada,kaacha shule!! kasema hawezi,kuamka!!
Hii kali jamani!!
 
Kwa majibu unayotoa mimi sioni tatizo kwa mkeo kukaa home...wewe mambo yako safi; wazazi wako mambo yao safi; kwani ni lazima kila mtu aajiriwe?

Ku supervise nyumba na watoto ni ajira tosha kwake...tena si kwamba una house wife ila una wife mwenye degree ati...bahati iliyoje. Mkeo ana muda mzuri wa kuangalia watoto; anaweza kuwasimamia kufanya homeworks zao (si msomi bana) hata sisi wengine kuna kipindi kinafika unatamani uache kazi hasa watoto wakiwa wadogo....Kwa ufupi ndugu yangu una bahati.

Kuhusu wewe kutangulia mbele za haki; usiumize kichwa kwa sababu shida haina shule...ata cope tu when needed. Kwani hata angepata kazi una uhakika angekuwa na mshahara wa kumfanya asi shake ukifa?
 
mkuu mleta mada, kwanza pole. mkeo ni wa wapi? Kama ni mkuria au masai mweleze mara 3 asiposikia mpeleke kwa wazazi/wadhamini kama hasikii mpe kipigo kidogo ila usimuumize.....mwamshe usiku wa manane mwagie maji ya baridi.....then mkanda mmoja mgongoni huku unamlalamikia kuwa anakuangusha... kama ni mtu wa pwani mtoe out na mama mdogo siku hiyo awepo, aje na vitz umchum mbele yake na kumsifu kuwa yeye ni mchapa kazi, kama ni mchagga basi mwachie watoto awalee kwa muda aonje joto ya jiwe...nk.
 

mmmh!!! pole sana mkuu! yaani anadegree na bado haoni umuhimu wa kufanya kazi!!!??? something must be wrong somewhere!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mmmh hivi kunamwanamke wa hivi hadi leo??nina degree yangu pia na sipendi kuajiriwa,ila ninafanya shughuli zangu za ujasiriamali,so its ok kama hapendi kuajiriawa,lakini sasa utakaa tuu jamani hujishughulishi na chochote hata kama mume anapesa??Who can predict the future??Ooh nadhani mkeo anashida flani,na pia kaka naona labda kunapart flani ya kumdekeza umechangia,mpe majukumu pia,si kwa nia mbaya,ni kwa nia nzuri tuu ya kumjengea moyo wa kujishughulisha!mmh maskini mwanamke mwenzangu!!
 

nahisi mlikutana usiku kwa mara ya kwanza haya ndo madhara yake
asbh mnakuwa kama amjuani then mkitambulishana ndoa hiyooooooooooooo
kaza buti kijana ndoa sio nyimbo za kina chege na wengine ndoa shuguli ndoa kutumika nakama sijakosea vizuri msalaba umeubeba mwenyewe kwa kujitangazia kumlipa ...hata ukiwa na fedha huna uwezo wa kumlipa mkeo wewe hata siku moja ndio maana nikaanza mmekutania wapi ....mke ni thamani mke ni lulu ya maisha mke hata aweje awezi kujakuwekwa uchi kwenye mitandao

samahani sijajua jina kamili maana kuna wanaooa mke na kuruhusiwa kuoa wake sasa hili naloni tatizo lingine ..ningeujuu muumini ningejua pa kuanzia kukusaidia

hata hivyo pambana
 
ni mwarabu au mpemba? kama sio basi kabla yako alikuwa na men wa kiarabu au mpemba coz wanaume na wanawake wa hizi mtu mbili huwa hawafanyi kazi yoyote zaidi ya kuduma za 6X6!! and vipi kitanzani yupo sawa au ni mvivu pia??

kama haya yote hayahusiki basi ujue amekulia katka mazingira ya ki boila(maisha mazuri) kuanzia utoto mpaka utu uzima au laa atakuwa ana matatizo ya kisaikolojia and inawezekana wewe pia unajiweza saana na ndo maana haoni 7bu ya yeye kujiweka bize na chochote coz kipato chako kinatosha 100%
 
Mkeo ili atii akili yake
fanya kama alivyokushauri Smile
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaongea kama mwarabu. Imani za kizamani hizi siku hizi tunabadilika, Mwanamke sio pambo ndugu yangu. Hivi kuna anayefikiria kama mimi humu kweli.

I'm out
kuna wakati haya makitu ya ndoa na mahusiano inabidi tu mtu uwe na akili ya kuwa nje kuna visima vya mafuta ndugu yangu!
sio lazima wote tuwe na akili za kichaga bana!
wacha wengine wawe na akili za kina princess lateef na yao yawanyokeee!
 

see!
sijui kwanini tumekariri lazima wote tuajiriwe!
huyu dada anaweza kuwa ni best wife ever!watu tu tumejaa mawazo ya kibepari na kujaza mifuko!
 

Umenena vyema. Ikiwa ulimuoa kwa sababu ya tabia yake ya utulivu, heshima na kutokuwa na mambo ya kishenzi na bado hajabadilika basi endelea naye . Kwani hivi vigezo vipya havikuwa msingi wa wewe kuamua kumuoa.
 
sasa hiyo digree alioipaa ilikuwa ya nini, huyo ni kilaza kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…