CATHY ALPHONCE
Member
- Feb 9, 2013
- 42
- 8
Dah Mkuu nimekukubali, mleta mada jaribu kufata ushauri wa huyu mkuu!
Amekaliwa na mashetani, Peleka kanisani akaombewe, ni kwenye kanisa linalohubiri wokovu sio kanisa ilimradi kanisa
Hapo umeniach hoi!Mkirua sasa unadandia treni kwa mbele. Wapi nimesema nyumbani ndio kuzuri? Usichanganye ulevi na pombe tafadhali .
mtafutie mke mwenzake!
Haya mambo ni personal sana hayatuhusu!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkirua sasa unadandia treni kwa mbele. Wapi nimesema nyumbani ndio kuzuri? Usichanganye ulevi na pombe tafadhali.
Id yako inasadifu vya kutosha ulio yaandika... Sizani kama mwanaume mwenye misimamo thabiti na uzoefu na mkewe kwa muda wote uo, anaweza kuja lalamika juu ya jambo dogo kama hilo... Msimamo wa mwanaume na hamu ya kufanya maamuzi magumu ni funzo tosha kwa mwanamke yeyote yule hapa duniani.
Ingawa huyo shemeji yetu anasemekana kuwa ni mvivu, nashawishika kuandika kwamba anayo mazuri pia hasa katika management ya familia. Hakuna kazi ngumu na muhimu kama kutunza familia kamanda.
Jukumu la msing la mke/mama ni kutunza familia, kama ataweza kulifanya hilo kwa ufanisi mkubwa zaidi kuliko sasa ni bora zaidi.
Masuala ya economics za familia ni yako kaka. Acha mawazo ya hovyo ya eti nikifa kesho...what if akifa yeye...utaweza kufanya kazi anayofanya leo ya kutunza familia?? au unajua kutafuta fedha tu na kuacha mezani...acha hizo...unaweza kuta hata tarehe ya kuzaliwa first borne wenu umeisahau...!!! na yeye aje huku kulalamika????
TAFAKARI
Ingawa huyo shemeji yetu anasemekana kuwa ni mvivu, nashawishika kuandika kwamba anayo mazuri pia hasa katika management ya familia. Hakuna kazi ngumu na muhimu kama kutunza familia kamanda.
Jukumu la msing la mke/mama ni kutunza familia, kama ataweza kulifanya hilo kwa ufanisi mkubwa zaidi kuliko sasa ni bora zaidi.
Masuala ya economics za familia ni yako kaka. Acha mawazo ya hovyo ya eti nikifa kesho...what if akifa yeye...utaweza kufanya kazi anayofanya leo ya kutunza familia?? au unajua kutafuta fedha tu na kuacha mezani...acha hizo...unaweza kuta hata tarehe ya kuzaliwa first borne wenu umeisahau...!!! na yeye aje huku kulalamika????
TAFAKARI
bonge la ushauri kaka yaani mabo ninayo yaona huku ofisini wakifanyiwa wake za watu....kamwe mke wangu hatokuja kufanya kazi nitaendelea kumuweka akae ndani hivihivi kama sasa sina preshaaa yoyoteMkuu mshukuru Mungu huyo mke wako anakutunzia watoto wako na wewe anakutimizia mahitaji kama mke. Huko maofisini unakotana kumleta mke wako si kuzuri, kuna mambo mengi tunayaona na kuwafanyia wake za watu yasiyostahili. Kama hana munkari wa kazi au biashara au shule haina maana ni mke kilaza. Tafuta kitu atakachofanya kitakachokuwa na interest kwake. Lakini usimhukumu after 7 years, lazima kuna mazuri uliyaona kwake. Wewe ndio baba na kidume kwenye familia, kutunza familia ni jukumu na wajibu wako. La msingi waandalie mazingira mazuri wanao endapo Muumba ataamua kukuita mbele ya haki wangali wadogo. Tusifananishe wake zetu na wake wa marafiki zetu kwani hujui wao wanaumiza vichwa kwa lipi.
Habari,
Mimi nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa na tuna watoto wa 2. Nlimuoa mwanamke aliyekuwa kamaliza degree ambaye alikuwa home tu at the time anatafuta ajira. Toka nimuoe hajawahi kufanya kazi yoyote ile yaani Goalkeeper mpaka leo na kutafuta kazi alisha acha. Mpaka leo hii mke wangu hajabadilika. Namlipa mshahara mwisho wa mwezi ambao ni sawa na kama 10k per day yaani (300k). Kila ninapojaribu kumtafutia kazi anafanya kidogo tu anaacha. Huwezi amini hata umlazimishe vipi ajishughulishe mzito ile mbaya. Mi ni mfanyabiashara(Magari Makubwa) nimemuanzishia vimiradi through the years vyote kala mtaji. Kuna kipindi alijaribu kusoma masters ya bussiness administration nkamlipia ada, nunua vitabu vyote alafu yeye akaamua kuacha baada ya mwezi tu Eti kuamka alfajiri hawezi. Nkaja nkamuomba basi asome chuo ambacho atakuwa anaingia mchana nacho alishindwa.
Tatizo rafiki yake mkubwa ni mama yangu mzazi hivo kuna kipindi nlikata mshahara wake ili kumlazimisha afanye kazi akakimbilia kulia manyanyaso nikalazimishwa hela yake isiguswe na wazazi wangu. Nkienda kazini namuacha nyumbani na home kwenyewe hafanyi chochote anaita tu housegirl. Yaani yupo yupo tu siku hadi siku. Nifanyaje ili hata nikianguka leo au kesho awe ni mama atakayeweza kusomesha watoto.
Alafu matumizi yake ya hela mabaya yaani hela yake mwenyewe ukimpa mwanzo wa mwezi kwenye tarehe 1 hiv basi ikifika tarehe 8 ujue alikuwa anaumwa. Ila ni hela yake na hainunui hata nguo ya mtoto hivyo hainihusu. Nifanyaje ajishughulishe?