Nimeishi na mke wangu kwa zaidi ya miaka 7 lakini huwa kuna wakati tunakuwa mbalimbali kama mwezi hivi kutokana na biashara
Kama siku 5 zimepita ananiambia anaumwa sehemu za siri nimeenda kumuona nimekuta mashavu yote ya uke yamejaa vidonda hadi kutembea hawezi .
NAHISI AMECHEPUKA AKAAMBUKIZWA ZINAA
Je, yawezakuwa sahihi. Ushauri please