Hapo itabidi tuwarudishe marehem ,kisha tuwagawie mali zao baada ya hapo kila marehemu agawie watoto wao urithi
Kila mtu ana mtazamo wake lakini kama nikipewa jukumu la kugawa mali. Mali nitampa mwenye hela kwa sababu pesa huzaa pesa. Nimeona biashara nyingi zinakuwa kwa sababu mrithi hana uzoefu na hela. Kuna mzee alikuwa na kampuni ya ujenzi baada ya kumrithisha mtoto mwenye hela wakamkabidhi mtoto wa mke wa kwanza.Wakuu wanasheria
Mzee Bingili alikua na watoto wawili wa kiume, Kibaki na Kaputi
Akafariki na kuacha mashamba ekari 100 lakini hakuwahi kugawa mashamba kwa watoto wake Kibaki na Kaputi ila waliendele kulitumia shamba kila mmoja akawa analima anavyojisikia
Kibaki ana mke mmoja na watoto watano na sio mlimaji sana akawa yeye na watoto wake analima kama ekari 30,
Kaputi ambaye ana wake wawili na watoto 15 akawa analima sehemu kubwa ya shamba kama ekari 70
Miaka ikapita Kibaki na Kaputi na wake zao wakafariki, baada ya muda kivumbi kikaanza kwa wajukuu wa Bingili yaani watoto wa Kibaki na Kaputi
Watoto wa Kaputi wanadai ekari 70 ni mali yao wajukuu 15 na iliobaki ekari 30 ni watoto wa Kibaki, yaani ibaki kama ilivyokua mazoe kulima
Watoto wa Kibaki nao wanadai shamba ligawanywe katika kwakuwa babu yao Bingili alikua na watoto wawili tu hivyo shamba ligawanywe kwa muktadha wa Kibaki nusu na Kaputi nusu
Ikumbukwe kwamba Kibaki na Kaputi walikua wanapendana sana kama Ndugu hadi kufa kwao hawakuwahi kugombana kisa shamba ukizingatia shamba lilikua kubwa sana na walidhani kugawa mashamba ya baba yao ni kama kuleta utengano
Sasa walipo kufa watoto wao wamekua watu wazima na ardhi imekua na thamani na uhitaji zaidi wa kulima kila mmoja ndio maana vita ikalipuka
Mimi nipo upande wa Kibaki mwezi wa 12 tuna kutana kijijini kikaeleweke maana uadui umekuwa mkubwa mmno hadi ni hatari
Naombeni ushauri wenu kisheria imekaaje maana wengine tunatoka mjini Dslamu tunategemewa ndio vichwa na wajuaji wa kumaliza kesi [emoji23]
Nisije kusimamia vitu kumbe havipo kisheria nikaonekana kituko
Ushauri wenu please
Imekaaje hii kisheria
Kila mtu ana mtazamo wake lakini kama nikipewa jukumu la kugawa mali. Mali nitampa mwenye hela kwa sababu pesa huzaa pesa. Nimeona biashara nyingi zinakuwa kwa sababu mrithi hana uzoefu na hela. Kuna mzee alikuwa na kampuni ya ujenzi baada ya kumridhisha mtoto mwenye hela wakamkabidhi mtoto wa mke wa kwanza. Jamaa anaambiwa kuna hela inahitajika kwa ajili ya mafuta, kulipa vibarua jamaa anakataa kutoa. Mwishowe wakavunjiwa mkataba wa miradi na ikabidi walipe faini juu. Muda si mrefu ile kampuni ikafa uzembe ulikuwa ni aliyepewa alikuwa hana uzoefu na hela.
Hebu tudadavulie hii mkuuItoshe tu kukwambia kuwa mirathi hairithiwi Mkuu Bingili lakini bado sheria haijaacha mali zipotee kiholela hivyo hii kanuni ya jumla inayo mbadala wake.
Kuna mstari mwembamba sana hwpo unaohitaji Mahakama kuelezwa vyema maana kidogo tu inaweza kurudi kwenye dhana ya hapo juu kuwa mirathi hairithiwi.
Ila hiyo mirathi inaweza ikawazungusha Mahakamani hata miaka 20 maana ni mtu mwenye maslahi tu aamue kulianzisha kivyake, na hivi wapo wengi mvurugano hapo sio mdogo Mkuu Bingili
Kama ni Waislam, jambo jepesi sana hilo.Wakuu wanasheria
Mzee Bingili alikua na watoto wawili wa kiume, Kibaki na Kaputi
Akafariki na kuacha mashamba ekari 100 lakini hakuwahi kugawa mashamba kwa watoto wake Kibaki na Kaputi ila waliendele kulitumia shamba kila mmoja akawa analima anavyojisikia
Kibaki ana mke mmoja na watoto watano na sio mlimaji sana akawa yeye na watoto wake analima kama ekari 30,
Kaputi ambaye ana wake wawili na watoto 15 akawa analima sehemu kubwa ya shamba kama ekari 70
Miaka ikapita Kibaki na Kaputi na wake zao wakafariki, baada ya muda kivumbi kikaanza kwa wajukuu wa Bingili yaani watoto wa Kibaki na Kaputi
Watoto wa Kaputi wanadai ekari 70 ni mali yao wajukuu 15 na iliobaki ekari 30 ni watoto wa Kibaki, yaani ibaki kama ilivyokua mazoe kulima
Watoto wa Kibaki nao wanadai shamba ligawanywe katika kwakuwa babu yao Bingili alikua na watoto wawili tu hivyo shamba ligawanywe kwa muktadha wa Kibaki nusu na Kaputi nusu
Ikumbukwe kwamba Kibaki na Kaputi walikua wanapendana sana kama Ndugu hadi kufa kwao hawakuwahi kugombana kisa shamba ukizingatia shamba lilikua kubwa sana na walidhani kugawa mashamba ya baba yao ni kama kuleta utengano
Sasa walipo kufa watoto wao wamekua watu wazima na ardhi imekua na thamani na uhitaji zaidi wa kulima kila mmoja ndio maana vita ikalipuka
Mimi nipo upande wa Kibaki mwezi wa 12 tuna kutana kijijini kikaeleweke maana uadui umekuwa mkubwa mmno hadi ni hatari
Naombeni ushauri wenu kisheria imekaaje maana wengine tunatoka mjini Dslamu tunategemewa ndio vichwa na wajuaji wa kumaliza kesi [emoji23]
Nisije kusimamia vitu kumbe havipo kisheria nikaonekana kituko
Ushauri wenu please
Imekaaje hii kisheria
Kama ni Waislam, jambo jepesi sana hilo.
Kwa wengine huko sifahamu.
Itoshe tu kukwambia kuwa mirathi hairithiwi Mkuu Bingili lakini bado sheria haijaacha mali zipotee kiholela hivyo hii kanuni ya jumla inayo mbadala wake.
Kuna mstari mwembamba sana hwpo unaohitaji Mahakama kuelezwa vyema maana kidogo tu inaweza kurudi kwenye dhana ya hapo juu kuwa mirathi hairithiwi.
Ila hiyo mirathi inaweza ikawazungusha Mahakamani hata miaka 20 maana ni mtu mwenye maslahi tu aamue kulianzisha kivyake, na hivi wapo wengi mvurugano hapo sio mdogo Mkuu Bingili
Kila mtu ana mtazamo wake lakini kama nikipewa jukumu la kugawa mali. Mali nitampa mwenye hela kwa sababu pesa huzaa pesa. Nimeona biashara nyingi zinakuwa kwa sababu mrithi hana uzoefu na hela. Kuna mzee alikuwa na kampuni ya ujenzi baada ya kumridhisha mtoto mwenye hela wakamkabidhi mtoto wa mke wa kwanza. Jamaa anaambiwa kuna hela inahitajika kwa ajili ya mafuta, kulipa vibarua jamaa anakataa kutoa. Mwishowe wakavunjiwa mkataba wa miradi na ikabidi walipe faini juu. Muda si mrefu ile kampuni ikafa uzembe ulikuwa ni aliyepewa alikuwa hana uzoefu na hela.
Uwezo wa kumiliki mali unaendana na uwezo wa kifedha. Nikupatie shamba la ekari mia wakati hela ya kuhudumia hata ekari moja huna. Unataka upewe kampuni ambayo inatumia zaidi milioni mia kujiendesha kwa mwezi. Wakati hata bank haiwezi kukopesha hata milioni moja. Mali akipewa mtu asiye na uwezo inaishia kuuzwa au Kupotezwa. Wazungu walijua hilo ndio maana Uingereza kuna property tax ya asilimia 10. Kama unarithi mali ya 1 billion inalipa milioni mia serikalini.Hii ni kwa mtazamo wako na sio kisheria
Haki ya mtu haipotei kwa kuwa mjinga
Uwezo wa kumiliki mali unaendana na uwezo wa kifedha. Nikupatie shamba la ekari mia wakati hela ya kuhudumia hata ekari moja huna. Unataka upewe kampuni ambayo inatumia zaidi milioni mia kujiendesha kwa mwezi. Wakati hata bank haiwezi kukopesha hata milioni moja. Mali akipewa mtu asiye na uwezo inaishia kuuzwa au Kupotezwa. Wazungu walijua hilo ndio maana Uingereza kuna property tax ya asilimia 10. Kama unarithi mali ya 1 billion inalipa milioni mia serikalini.
Nyie ndo mnasababisha watu wadhulumiwe shida ni kitafuta vyao AU MIRADHI ZA WAZAZI WAO? Yaani uache Mali kisa unasema unataka utafute zako? Una uchizi? Mo dewji Anglesea hivyo leo angekuwa hivyo?Wajukuu tafuteni vyenu vinginevyo mtauana. Ishu ya urithi ina changamoto sana
Mimi sina shida na mali ya wazee wangu lakini najua kuwa mali za wazee inabidi wapewe wenye uwezo wa kuziendeleza(siyo uwezo wa kielimu bali fedha). Kuna watu hawatakiwi kupewa ijapokuwa wana haki ninajitafutia maisha lakini hata nikifa mali zangu nitawarithisha watoto wangu kadri ya uwezo wao.Mkuu wazazi wako wakifa na mkabaki watoto watatu labda wa kiume na akaacha mali basi bila kujali mmoja ni ana Phd ya uchumi na mwingine ni mkulima na mwingine mvuta bangi pale karume, wote mna haki sawa
Kama mtaamua kugawana mtagawana sawa, na mkiamua kuziendeleza basi hata asiye na mali atakaa nje ya operation lakini atapata mgao wake kabda kila mwezi nk
Usichanganye kusimamia na kuwa na haki
Akiamua kwenda mahakamani mali igawanywe basi itauzwa mgawane sawa sawa au mtagawa thamani ya kampuni mara tatu na mtampa haki yake nyie muendelee nayo
Haki ya mtu haipotei kwa umaaikini wake
Bahati mbaya wazazi hawapo sasa basi busara ya mahakama itaamua mali iuzwe halafu igawiwe sawa kwa kila mjukuu