PAGAMECO
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,207
- 1,234
- Thread starter
- #41
Ukiishi Kwa Kufata Sheria Unaambiwa Unawanyanyasa ,Unaroho Mbaya, Any Ways Kwenye Pesa No Please No Sorry Mkuu Kama Hii MiKataba Nikifanikiwa Kuwa Nayo Itakuwa Njia Nzuri Ya Kila Mtu Kujipimia Size YakeMtoa mada umeelezea kitu muhimu hapa,hili ndio tatizo la kuishi kwenye nchi ambayo sheria zipo ila utekelezaji wake ni mbovu mno,kumbuka miaka ya HON.MREMA na maduka ya nguruwe ,sheria ipo ya kusema haya maduka lazima yawe umbali Fulani kutoka kwa watu ambao nguruwe kwao imezuiwa lakini tulishuhudia haya maduka yakiwa mitaani mwetu na hili lilisababisha migongano ambayo haikuwa lazima;mikataba ya upangaji ipo na lazima ukubalike kwa pande zote mbili kabla ya mpangaji kuingia kwenye chumba au nyumba,kwanza ni muhimu wewe mpangishaji ujue background ya mpangaji mtarajiwa,bei ya upangaji,tarehe ya ulipaji,ulipaji utafanyika kivipi kama ni cash,eft,bank deposit etc etc,vile vile mpangaji mtarajiwa lazima alipe deposit(kodi ya mwezi na nusu)hii mpangishaji atatunza bank kwa ajili ya kucover in case mpangaji atamisuse au kukiuka sheria za upangaji,na on top of that mapangaji mtarajiwa lazima apewe sheria za upangaji na akubaliane nazo before ya kupanga,hizi sheria zinatamka haki na wajibu wa mwenye nyumba na mpangaji na nini kifanyike wakati mmoja wao anakiuka sheria hizo;mikataba yote hii ni vema ukasainiwa mbele ya witness au mwanasheria.haya yakifanyika hapa hakuna mgogoro kila kitu kipo kwenye maandishi.
"NeVeR_sAy_NeVeR"