PAGAMECO
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,206
- 1,238
- Thread starter
- #21
Hapo Nimekupata Swadakta MkuuUkiwauliza wanaweza kuwa nao kwa maana huwa wanachapisha documents za aina mbalimbali au tafuta nyumba za jirani hapo mtaani kwako ongea na mpangaji mmojawapo akupe mkataba then ukapige copy halafu uwape wale wanaochapisha wafatishe mfumo huo
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app