Msaada: Microsoft wamenitumia barua ya kunionya

Usisahau kuanza kuwasalimia kwa heshima siku ukiwapigia simu mfn: Thank you ladies and women................
.............................
teh ! teh ! teh ! teh ! teh !
ngoja nicheke kigazetiii
 
siku watakuibukia na matshirt na mzungu pori mmoja. watajidai wametoka kenya kufata computer zao. 😀😀
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
software zao labda mana hizi computer ni zangu nilizinunua kwa pesa halali ya kitanzania
 
shukrani mkuu mana hata huyo CLAIRE GRIBBIN me hats simjui
dah kumbe yupo south
 
Kama vipi waambie ulishaachaga kutumia windows toka walivyoitupa xp sasa uko na open source software tu.

Nanusa harufu ya kupigwa hela tu hapo, kuwa makini
 
shukrani mkuu kwa ufafanuzi murua
 

Achana nao hao ni matapeli http://
 
Awo DHL uliwaona kabisa wakajitambulisha kwako au ulikuta to iyo barua
 
wanaweza tu kutumia hilo jina lkn yy asielewe kinachoendelea
 
wewe huwajibiki kwa sheria za Kenya wacha mamlaka za ndani zichukue mkondo kama una kosa
 
Aaaahh ka hvyo mi wangekuwa washa nifunga .. Natumia.. Offices 2015 nili itorrent plus sasa nafukuzia window ten.. Na sija wah sikia wakikemea hata kwa email

Chunga hao wiz tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…