Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 994
Mkuu chief naomba unisaodie bei ya hii simu na ninaweza ipata wapi kwa hapa dar moto e 2 nd generation na 1 st generation ahsanteh mkuu chief mkwawa
Mkuu naomba msaada nimesikia ubora kuhusu moto e ni nzuri na bajeti ya kawaida so wapi naweza pata moto e 2 nd generation na 1 st kwa bajeti ya kiasi gani mkuu na maeneo gani hapa dar. ahsanteh mkuuHakuna copy ya lumia, unless inatumia android.
Tumia microsoft account login store ikikubal hio original,
Na unanishauri nini kati ya hizi mkuu samsung s2 na tecno canon c8 kuna nataka nimchkulie nishauri moja wapo kiupande wote wote camera,storage,durability,performance na hata betri.ahsanteh mkuuHakuna copy ya lumia, unless inatumia android.
Tumia microsoft account login store ikikubal hio original,
Na unanishauri nini kati ya hizi mkuu samsung s2 na tecno canon c8 kuna nataka nimchkulie nishauri moja wapo kiupande wote wote camera,storage,durability,performance na hata betri.ahsanteh mkuu
moto e 1st gen achana nayo na second gen pia zipo aina mbili yenye 4g na isio na 4g. hio yenye 4g ndio nzuri na processor yake pia ni kubwa.Mkuu naomba msaada nimesikia ubora kuhusu moto e ni nzuri na bajeti ya kawaida so wapi naweza pata moto e 2 nd generation na 1 st kwa bajeti ya kiasi gani mkuu na maeneo gani hapa dar. ahsanteh mkuu