Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu.
Msaada please.
Hali ya hewa ikoje?miezi hi huwa mbegu ya kitunguu inasumbua tokana na baridi ile ya asubuhi inasababisha ugonjwa wa ukungu na miche kufa,ushauri piga dawa ya ukungu napia mwagilia mbegu asubuh kabla yajua kutoka ili kukontrol mildew.ni hayo mtu wangu wengne watakuongezea mawazo
Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu.
Msaada please.
mtafute mtu anaitwa gebra humu
asante vipi kuhusu interval ya umwagiliaji?
aise jna langu hlo au unamsema gebra yupi?aliyekuwa jf ndyo mm
aise jna langu hlo au unamsema gebra yupi?aliyekuwa jf ndyo mm
nimejaribu juzi jumamosi ndo nasubiri nione
thanks to all