Jibu bovu,Don't chase the waterfalls (vyoo vya kisasa), Stick to what you are used to (vyoo vya zamani)
1. Cost: vyoo vya kisasa > vyoo ya zamaniJibu bovu,
Toana sababu
Duh nashkuru hata bila maelezo umeniogopesshaUsijaribu, narudia, usijaribu
Shimo la duara (soak way pit) ni kwa ajili ya kuhifadhi maji maji tu na hili la mstatili (septic tank) ni kwa ajili ya kuhifadhi uchafu. Kama mtu hana uwezo wa kujenga yote mawili, anatakiwa ajenge hilo la mstatili na sio shimo la duaraKabla ujajenga shimo la choo ni lazima ujue ardhi yako ikoje? Kama aedhi ni ya maji maji maana yake hivyo vya kisasa ni hatari.. Sifa ya shimo la choo ni kuwa na sehemu kuu tatu shimo la kwanza lime sakafiwa chini lina kuwa na sehemu kuu mbili muhimu sehemu ya kwanza kupokea uchafu na maji sehemu ya pili kuruhusu maji kwenda shimo la pili ambalo ndio sehemu ya tatu hili ali sakafiwi kazi yake kupokea maji tu kwa mtililiko huu shimo aliwezi kujaa..
Kutokana na ukosefu wa hela ufinyu wa ardhi wengi uchimba shimo moja tu lile la duara ambalo ndio kila kitu..
Ndio maana nilikataa kuishi huko mnakunywa n kupikia mavi 🤣🤣Maji ya kisima kwa Dar hayafai