bloodsucker
Member
- Mar 10, 2018
- 11
- 7
namimi najaribu kufikilia hivyo au nikafungue kesiMnunulie vifaa vya shule aende kuriport halafu ndo kitaumana kuanzua hapo
Hii ndio hatuastahiki...Katoe taarifa TAKUKURU fasta.
Takukuru wadai cheti cha mtoto aliyeuziwa jina cha kuzaliwa na kiwe cha zamani maana huyo bila shaka amezaliwa kipindi hiki ambapo vyeti hutolewa mara tu ya mtoto kuzaliwa tofaut na miaka ile... Au kadi ya clinic... Pia alete cheti cha baba yake cha kuzaliwa au kitambulisho chochote kinachotambulila na serikali hapo nadhani mambo yatakuwa mswanoKatoe taarifa TAKUKURU fasta.
Mmmh yani akareport wakati hakufanya mtihani kwani hawakupiga picha au unafikili ni enzi zile za analogy(picha za kubandika)Mnunulie vifaa vya shule aende kuriport halafu ndo kitaumana kuanzua hapo
Majina yanafanana, umejuaje ni la mdogo wako.
[/QUOT
majina ni hayo hayo yote matatu na niyeye alitakiwa kumaliza lakini akarudishwa nyuma lakini jina lake likaendelea na mtu mwingine
hapana mdogo wangu hakuwa mtoro kabisa isipokuwa walimu walicheza mchezo haramtatizo mdogo wako mtoro sana
shule ni hiyo hiyo na majina ni yote matatu yamefananashule hiyo hiyo au shule tofauti? inawezekana kuna kufanana majina
nimereport kwa mratibu elimu wa kata. na kwa afisa elimu wa wilaya na imeonekana kuna mchezo haram umechezwa. Jumatano hii ndo tunaenda kujua hatima ya hili suala na mwalimu mkuu atachukuliwa hatua ganiFuatilia mapema,baadaye italeta shida......kama unauhakika nenda Takukuru iliyokaribu nawewe watakupa ushauri nini kifanyike
shhkrani sana kwa ufafanuziTakukuru wadai cheti cha mtoto aliyeuziwa jina cha kuzaliwa na kiwe cha zamani maana huyo bila shaka amezaliwa kipindi hiki ambapo vyeti hutolewa mara tu ya mtoto kuzaliwa tofaut na miaka ile... Au kadi ya clinic... Pia alete cheti cha baba yake cha kuzaliwa au kitambulisho chochote kinachotambulila na serikali hapo nadhani mambo yatakuwa mswano
basi jina liliuzwa mkuushule ni hiyo hiyo na majina ni yote matatu yamefanana
Okay sawa,ila nenda kimya kimya Takukuru bila hao uliowaambia kujua,ukiona wanazingua utakuwa na nafasi nzuri kusaidiwanimereport kwa mratibu elimu wa kata. na kwa afisa elimu wa wilaya na imeonekana kuna mchezo haram umechezwa. Jumatano hii ndo tunaenda kujua hatima ya hili suala na mwalimu mkuu atachukuliwa hatua gani