syli mchunguzi
Member
- Jul 14, 2021
- 49
- 42
Mimi natumia mtandao wa voda lakin tatizo linalonisibu no kwamba napowasha data ili niingie mtandaon MB zinaenda fasta sana hata Kama niko wasap kuangalia comment za wadau MB zinaenda sana please anaejua anisaidie tatizo liko kwenye sim setting ama kwenye mtandao?? Wajuzi naomba msaada wenu.