Msaada: MB zinaenda sana kila napofanya chochote kwenye simu yangu

Jul 14, 2021
49
42
Mimi natumia mtandao wa voda lakin tatizo linalonisibu no kwamba napowasha data ili niingie mtandaon MB zinaenda fasta sana hata Kama niko wasap kuangalia comment za wadau MB zinaenda sana please anaejua anisaidie tatizo liko kwenye sim setting ama kwenye mtandao?? Wajuzi naomba msaada wenu.
 
4G tunaipenda, lakini inakula data sana.
Ukiona mtandao wako unasoma (kwa mfano) 800kb/s, jua MB zinzotumika hapo n nyingi sana kwa muda mchache
 
Back
Top Bottom