Msaada/mawazo kuhusiana na kozi ya IT

Jaribu bahati yako mkuu, udahili wa government una ushindani sana na inategemea na mwaka ila wewe unaweza kupata mana 2010 hio sio ma BRN wakizungua jitupie engineering kati ya Civil,mecha au Electrical
Mkuu mimi nilimaliza mwaka ambao BRN inaanza 2013
 
Asikudanganye mtu. IT ni kati ya course zenye furs nyingi na Pana hapa TZ. Ila ukiwa na narrow mind kwamba lazima ukimaliza ukasake ajira inaweza kukusumbua napo labda kama wewe ni kilaza. Ila kwa kuwa naona bado unabahatisha embu nenda kwa afya huko usije ukajalia baadae.
 
Unanunua vyeti vya mtu aliyefaulu o-level halafu unaaply vyuo husika. Ukifika huko jenga urafiki na watoto wa waheshimiwa utafaulishwa.
 
Mkuu
ICT > Information and Communication Technology
AU
TEHAMA > Technolojia ya Habar na Mawasiliano

KUHUSU AJIRA_ajira za kuajiriwa kupitia iyo coz ndugu mtihan, ila kama upo vzur kpesa ukmalza chuo unaweza ukajiajir mwenyewe kwa kufungua
>INTERNETCAFFE,
>STATIONARY, na vituovingine vng tu ukajipatia kpato mwenyewe sio kusubir kuajiriwa
 
Back
Top Bottom