Msaada/mawazo kuhusiana na kozi ya IT

Msaada/mawazo kuhusiana na kozi ya IT

Usiogope ajira zipo ila katika ajira utapambana na waliosoma computer science, Information technology na Informatiob systems..hizo zote ni kozi ambazo kwa serikalini ukiajiriwa utaitwa Afisa Tehama( ICT officer) kazi zipo sasa hivi kila halmashauri nchini lazima iwe na afisa Tehama kuanzia wawili, kwa ajili ya mifumo ya epicor , na mapato ...
 
IT ni kozi nzuri iwapo huitegemei saaana kuendeshea maisha yako, ni moja ya masomo yanayohitaji ubunifu na kujituma sana kuyafanya ili yakuletee matokeo mazuri,kama umependa kweli toka moyoni nakushauri usome yatakutoa kama sio kwa kuajiliwa basi hata kujiajili inawezekana pia!
 
Back
Top Bottom