Msaada matumizi ya iPhone

Msaada matumizi ya iPhone

YATC

Member
Joined
Jan 21, 2015
Posts
77
Reaction score
19
wana jukwaa habari..
nina maswali naomba msaada
jinsi ya kudownload nyimbo bila kutumia iTune, kuna app nzuri zinazoweza nisaidia na nikasikiliza nyimbo au videos bila kua online??baada ya kuzidownload??hapa nakimbia malipo ya iTunes
pia naomba kujua kama nyimbo ntakazotumiwa kupitia whatsapp nawezaje kuzisave na kuendelea kuziplay kawaida?
pia simu kuna muda inapata moto saaana ghafla tuu
simu haijawa jailbreaked sijui kama yanawezekana haya bila kui jailbreak
Natanguliza shukrani
 
App zipo kibao kama tubidy, mp3 downloader nyingi tu, kuhusu kusave nyimbo ulizotumiwa whatsapp hyo hapana ila unaweza tuma nyimbo zilizo kwenye simu yako via whatsapp download share app lite
 
Kuna uc browser naipenda sana hata net ikikata week utakuta kitu kimepause tu unaendelea kupakua ulipoishia
 
Kuna moja ambayo mimi naitumia muda mrefu inaitwa iDownload iko poa.
 
asante wakuuu
idownloader
tubidy
musify zimenisaidia
 
Nimeingia humu ili nijue wakishua wangapi. Wanaomiliki iPhone.....


Sie twafurahia sana kumiliki android. Naskiliza tu hapa nyimbo zangu nilizotumiwa whatsapp
 
Back
Top Bottom