Japo sina uzoefu na field hii zaidi ya kuruka sana tu, nashauri ukienda vaa vizuri, jiandae kwa kurudia maswali unayodhani yanaweza kuulizwa, jiamini, na ukijibu maswali jibu kwa ufasaha bila kuwachosha au kuwanyima baadhi ya taarifa wasikilizaji wako. Nadhani hii itakusaidia mwanangu.