Msaada maswali ya intervieew afisa mtendaji wa kata daraja la 2

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
682
918
Wandugu utumishi wametoa hizo nafasi za watendaji wa mtaa daraja la pili. Ninaomba kwa aliyewahi fanya intervieew atunipe baadhi ya maswali au maswali yao yanabase kwenye nyanja gani haswa. Ahsante
 
E.kilala BACD3 2014 If its you Pm SO soon
 
OOh!! kaka sijaona hizo post ila all i know walitangaza watu wa apply so u mean washaita kwa usahili au?
 
huwa wana base kweny utawala! mf.maana ya utawala bora na misingi ya utawala bora.............
 
Wandugu utumishi wametoa hizo nafasi za watendaji wa mtaa daraja la pili. Ninaomba kwa aliyewahi fanya intervieew atunipe baadhi ya maswali au maswali yao yanabase kwenye nyanja gani haswa. Ahsante

We Jamaa tulimaliza wote Masters unataka kuwa Diwani kweli ajira ngumu kila laheri ndugu!
 
wait wakuite kwanza, siku hizi hata kuitwa kwenye interview ni kazi kama kutafuta kazi.
 
Wandugu utumishi wametoa hizo nafasi za watendaji wa mtaa daraja la pili. Ninaomba kwa aliyewahi fanya intervieew atunipe baadhi ya maswali au maswali yao yanabase kwenye nyanja gani haswa. Ahsante

Kwani wewe umejipangaje dogo???
 
We Jamaa tulimaliza wote Masters unataka kuwa Diwani kweli ajira ngumu kila laheri ndugu!

Ajira ni ngumu sana kuna mtendaji wa kata huku kwetu ana degree yake na GPA nzuri lakini mwaka huu kapandishwa kazi nahisi kwani wamemhamishia halmashaurini
 
swali la kwanza; utamfanyaje mwananchi aliyegoma kutoa mchango wa maabara ya shule?

am kidding, dont take it seriously
 
Back
Top Bottom