Erick Martie
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 301
- 338
Habari wakuu,
Ningependa kufahamu kiundani kuhusu hii kozi ya Master of science in Health Informatics inayotolewa na UDSM.
Kwa aliyemaliza kozi ya afya anaweza kumudu kozi hii inayohusisha mifumo ya kidigitali ya Afya!?
Na vp kozi hii Scope yake kiujumla Bongo imekaaje wadau!?
Vp pia kuna chuo kingine bongo kinafundisha hii kozi zaid ya UDSM!?
Nimependelea hii kozi zaid kutokana na hii kozi kutolewa ktk flexible time especially evening classes baada ya mihangaiko ya mjin ya hapa na pale hapo UDSM.
Na pia inatoa nafasi ya kuweza kufanya mpaka pHd ktk chuo icho (just in case).
Na vp uhusiano wa hii kozi pamoja na ile Masters ya mzumbe ya Health System Management au ile ya Masters Sc. in Monitoring and Evaluation.
Kwa kuwa ninapendelea kufanya kazi kwenye mifumo ya kidigitali ya Afya.
Kwa waliosoma koz hiyo na mwenye uelewa wowote tafadhali naomba kunisaidia kutoa tongo tongo ili nipate ufahamu zaid kabla ya kufanya maamuz magumu tafadhali!
Nawasilisha!