Msaada,mama yetu amepotea

Msaada,mama yetu amepotea

Status
Not open for further replies.
Jamani huyu mama imepita kama mwezi mmoja ivi wamesambaza picha zake kwenye whatsapp kuwa amekatwa viungo? Kumbe ni uzushi!!
 
Pole sana Mkuu,jaribu pia kutangaza kwenye misikiti na makanisa
Pia,jitahdi kusambaza picha zake kwenye ma-group ya WhatsApp
Vilevile nitahd kwenda mortuary ya muhimbili,Ilala na mwananyamala ukaulizie kwa kuwa sisi ni binadamu na dharura huweza kutukuta mahali popote!
Mkuu kutangaza makanisani na misikitini kumesaidia maana ni moja ya watu waliotoka kanisani baada ya kusikia Tangazo aliweza kumuona njiani
 
Ndugu wanajf naomba mnisaidie kusambaza taarifa za kupotea Ndugu Vitalia Mung'ong'o ni mwenyeji wa Njombe Ila kwa Sasa alikwepo Kwa kijana wake Dar mitaa ya Makuburi kibangu.
Alipotea jana Tarehe 6/72018 mchana muda kama wa saa Saba.
Kwa yeyote atayemwona atoe taarifa polisi au apige simu 0658999812View attachment 804617View attachment 804618

Updates:
Tunashukuru Kwa maombi yenu.
Mama yetu amepatikana maeneo ya Ubungo karibu Na mataa.Asanteni sana
Tunashukuru mkuu maana nilitaka nikutoe hofu tu mama zetu wa kidigitali usikute kapata kaserengeti kapumzika mahala ila hoyo yawezekana mambo ya jiji tena alienda kushangaa taa tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom