ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Nashukuru kwa ushauri wenu wapendwa ila Nina mtihani mgumu, mama yangu alikuwa muumini wa kawaida sana! Sasa tangu ameingia makanisa hayo anarudi vumbi tupu, nikiongea nae kwa simu ni jina la yesu mwanzo mpaka mwisho wa maongezi, hata sielewi kwa kweli, ila nashukuru sana kwa kunitia moyo.
Uzoefu kidogo nilio nao ni kwamba mtu anapoingia kwenye 'hizi imani', juhudi zozote mtakazokuwa mnafanya 'kumkomboa' zitapelekea yeye kujichimbia zaidi huko ili 'kukemea roho zenu mbaya'...
Kwa kiasi fulani method ambayo inafanya kazi, ni kuonyesha kumsapoti (sio kwa maneno), bali kwa kuwa karibu nae, kumpenda zaidi, kutumia mda wowote utakaopatikana kustorisha nae, akileta stori za kushawishi uingie ulokoleni, usipinge, msikilize, then kaa kimya, au mwambie aendelee kukuombea ili siku ukifunuliwa uingie humo (kimoyo moyo u
najua kuwa hutaingia), nk...
Lengo la kufanya hivi ni kumjengea hali kuwa nyumbani kuna 'kampani', na ni mahali pa furaha kwake. mda si mrefu (atakapopata frustration huko), atapakumbuka nyumbani na 'kurudi kundini.
But mkimtreat kama 'aliyepotea', mjue kwamba atazidi kupotea.
By the way, kwa hali ya kiuchumi nyumbani kwenu, it is likely mama ameenda huko out of frustration za aina fulani. Nyumbaza matajiri mara nyingi watu wako 'bize' na hazina furaha...
Nashukuru kwa ushauri wenu wapendwa ila Nina mtihani mgumu, mama yangu alikuwa muumini wa kawaida sana! Sasa tangu ameingia makanisa hayo anarudi vumbi tupu, nikiongea nae kwa simu ni jina la yesu mwanzo mpaka mwisho wa maongezi, hata sielewi kwa kweli, ila nashukuru sana kwa kunitia moyo.
nyie ndo devil worshipers mara nyingi mnatake actions pale mtu anapo okolewa na Mungu kutoka dhambini lakini wakati anafanya ufuska, ulevi, uongo, wizi na dhambi nyingine hamtake any action to rescue her its just okey but there she discover turning point you start to insult and oppress her without knowing its time wastage cause you will never quench the work started by Jesus Christ ''if she is on the right path'' trust me or not she will be the gate for you all to enter into the right church and am the one who via the same way but now all eyes on me cause am totally converted into the new creature and am enjoying the life of salvation,
so please join your mother if she is on the right path and not let any one to decide for you any family matter as that without a personal and core diagnosis out from feelings and emotions!!!!
Pokea like 10000 yaani umefanya jambo zuri sana , naomba nikutie moyo tu hata kama majibu yakichelewa endelea kumuombea tu dear. Manake hiyo ni vita si mchezo. Yaani mama wa watu wamekosa kumuonyesha Yesu wao wamemchanganya na inaonekana hawana msaada . Haya mambo ya kumwambia mtu flani mchawi yamekaa kiuganga zaidi kwani nimekaa kwenye huduma for almost 15 years. Kuna watu wengi wanachanganya hisia , mazoea na pengine husikiliza sana taarifa ya pepo. Mtu anapagawa anasema mimi nimetumwa na mumewe sasa hapo inapaswa wewe muombaji usitoe nafasi ya majadiliano kwani pepo ni muongo na baba wa uongo, ni kulitimua kwa kwenda mbele.Natamani kama ningemtembelea mama huyu lkn niko mbali sana na sitarajii kufika mujini hivi karibuni maana huduma hizi hutakiwi kutuma mtu.pole sana ila muombeena ongea naye kwa upendo halafu nitumie jina lake kamili nimfungie maombi ya siku 3 atabadilika na kuwa mama bora
Just another frustrated...nyie ndo devil worshipers mara nyingi mnatake actions pale mtu anapo okolewa na Mungu kutoka dhambini lakini wakati anafanya ufuska, ulevi, uongo, wizi na dhambi nyingine hamtake any action to rescue her its just okey but there she discover turning point you start to insult and oppress her without knowing its time wastage cause you will never quench the work started by Jesus Christ ''if she is on the right path'' trust me or not she will be the gate for you all to enter into the right church and am the one who via the same way but now all eyes on me cause am totally converted into the new creature and am enjoying the life of salvation,
so please join your mother if she is on the right path and not let any one to decide for you any family matter as that without a personal and core diagnosis out from feelings and emotions!!!!
Just another frustrated...
Am new here,ila sidhani its right kumuita mtu a devil worshipper.ujue tatizo moja kubwa la waafrika,ni wavivu kusoma vitabu so hata biblia wengi wetu hatuijui.And binadamu ukiweza kugusa emotions zake,ni rahisi kugusa imani yake ukampeleka popote,and its what most churches we hear about do.Jina la Yesu halitangazwi tena,saivi ni majina ya wachungaji,people are popular than Jesus himself!most people go to church sio kusikia neno la Mungu but kupata releif ya matatizo yao.mtoa mada kasema kwao wakatoliki,kwani catholics wanatangaza jina la shetani?huwezi kuwa saved kikatoliki.coz mi najua salvation is a personal issue sio kitu cha jumuiya kwamba mpaka uende kanisa flani ndo Yesu yupo.Jamani!!huu uvivu wetu wa kumtafuta Mungu binafsi ndo unatupelekea kuhangaika ovyo.na ukiangalia its possible huyo mama anaface matatizo,either home au kazini au with friends,so kafuata releif huko,coz kwanini leo hii amtenge mumewe na kumuona mchafu.ndo biblia inavoagiza kweli??huko mbinguni huko jama..mh!the true gospel ni neno lake(bible) na sio kanisa la fulani au fulani.ukiisoma,all answers na mwanga uko humo.ukisubiri mchungaji flani akusomee kisha asummarise anavojua yeye ndo mwanzo wa kupotea..dear mtoa mada,mama alishike neno na sio kanisa flani.
nyie ndo devil worshipers mara nyingi mnatake actions pale mtu anapo okolewa na Mungu kutoka dhambini lakini wakati anafanya ufuska, ulevi, uongo, wizi na dhambi nyingine hamtake any action to rescue her its just okey but there she discover turning point you start to insult and oppress her without knowing its time wastage cause you will never quench the work started by Jesus Christ ''if she is on the right path'' trust me or not she will be the gate for you all to enter into the right church and am the one who via the same way but now all eyes on me cause am totally converted into the new creature and am enjoying the life of salvation,
so please join your mother if she is on the right path and not let any one to decide for you any family matter as that without a personal and core diagnosis out from feelings and emotions!!!!
how old is your mumy ?nauliza hivi kwa nia nzzuri tu! na je !anafanya kazi au ni mama wa nyumbani?Wapendwa wanajf naombeni ushauri, mama yangu ameingia kwenye makanisa ya kilokole japokuwa familia nzima ni wakatoliki, tangu ameingia kwenye makanisa hayo maisha yake yamebadilika sana, hana ukaribu na mumewe yaani baba yetu! Kwa mfano walikuwa wanasali pamoja asubuhi na jioni pamoja sasa haiwezekani tena kwani Ana amini baba yangu ni mchafu! ashirikiani na ndugu zake yaani wajomba na shangazi zetu japokuwa wamefanya jitihada kubwa kujaribu kutafuta muda kuzungumza nae imeshindikana! Kwani anatoka nyumbani saa 11 alfajiri na kurudi usiku.
Baba yetu amekuwa kwenye kipindi kigumu sana kiasi cha kuniomba kuzungumza nae kwani Mimi ni mtoto wa kwanza kwenye familia yetu nimeshindwa kuzungumza nae kwa sasa kwani naishi Japan na familia yote ipo tanzania, natarajia kurudi nyumba kwa likizo fupi mwezi wa 12, kuna kipindi Mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na tumbo akampeleka kwenye maombi akaonekana Ana mapepo yaliyokuwa anadai baba yetu ndie anamloga bwana Mdogo!
Nilipopata taarifa hizo nilishtuka sana nikamuomba Mdogo wangu aende hospital kwa uchunguzi bahati nzuri Nina rafiki yangu tulisoma pamoja ni dr wa matumbo pale muhimbili, baada ya kufanyiwa uchunguzi alionekana na bacteria h. Pylori ambao walisababisha apate ulcers pia, baada ya matibabu amepona kabisa! Baba yangu ni mfanya biashara mkubwa sana na msomi Sio Kwamba najisifia ila ndio ukweli, alifanya kazi kwenye jumuia ya Africa mashariki miaka ya 80, akaamua kuacha kwa hiyari yake na kijiingiza kwenye biashara tangu miaka hiyo, anafanya biashara ulaya na Middle East na marekani, baba yangu anaweza kuwa mchawi?
Japokuwa habari hizi hazijamfikia Kama zikimfikia anaweza akapata heart attack Kama Sio stroke, kuna mama aliyemuintroduce mama yangu kwenye makanisa haya ya kilokole alikwisha fariki na cancer ya ziwa kwani alikataa matibabu ya hospital! Napata Shaka ikitokea mama kuumwa huenda akakataa Kwenda hospital pia au kuficha maradhi yake, poleni kwa post yangu ndefu, naombeni michango yenu.
na hili nitatizo kubwa ,pia wanawadanganya kadri unavvyotoa kikubwa ndio unapokea kikubwa .wakati mwingine nashindwa elewa watu wamefungwa na mdudu gani kichwaniKuna tafiki yangu alikuwa analalamika kwamba Mama yake kila kipato anacho pata anakipeleka kanisani. Yaani anaweza akampigia mwanae kwaba anahitaji la pesa mwisho wa siku akapeleka kanisani.
nikikukuta umeingia mbinguni natoka ,hakuna watu wa dizaini hii watauona uso wa mungu!nyie ndo devil worshipers mara nyingi mnatake actions pale mtu anapo okolewa na Mungu kutoka dhambini lakini wakati anafanya ufuska, ulevi, uongo, wizi na dhambi nyingine hamtake any action to rescue her its just okey but there she discover turning point you start to insult and oppress her without knowing its time wastage cause you will never quench the work started by Jesus Christ ''if she is on the right path'' trust me or not she will be the gate for you all to enter into the right church and am the one who via the same way but now all eyes on me cause am totally converted into the new creature and am enjoying the life of salvation,
so please join your mother if she is on the right path and not let any one to decide for you any family matter as that without a personal and core diagnosis out from feelings and emotions!!!!
If that is the case, was it right to call me devil worshipper? Tatizo lenu mkishaingia kwenye hizo imani mnaaminishwa kuwa Yesu mmem-monopolize na hakuna watu wengine wanaoweza kuwa naye!!!... Kuwaona watu wengine ni devil worshippers kwa sababu hawasali kama wewe ndiyo kosa kubwa nyie "walokole" mnatakiwa kujiombea mliache...name whatsoever but the life its mine am comfortable on how i am, cant force you or any either to live like i am, due to that cant understand on how am frustrated while am experiencing glory!!! hahahahaaa lol!!!
na hili nitatizo kubwa ,pia wanawadanganya kadri unavvyotoa kikubwa ndio unapokea kikubwa .wakati mwingine nashindwa elewa watu wamefungwa na mdudu gani kichwani
Wapendwa wanajf naombeni ushauri, mama yangu ameingia kwenye makanisa ya kilokole japokuwa familia nzima ni wakatoliki, tangu ameingia kwenye makanisa hayo maisha yake yamebadilika sana, hana ukaribu na mumewe yaani baba yetu! Kwa mfano walikuwa wanasali pamoja asubuhi na jioni pamoja sasa haiwezekani tena kwani Ana amini baba yangu ni mchafu! ashirikiani na ndugu zake yaani wajomba na shangazi zetu japokuwa wamefanya jitihada kubwa kujaribu kutafuta muda kuzungumza nae imeshindikana! Kwani anatoka nyumbani saa 11 alfajiri na kurudi usiku.
Baba yetu amekuwa kwenye kipindi kigumu sana kiasi cha kuniomba kuzungumza nae kwani Mimi ni mtoto wa kwanza kwenye familia yetu nimeshindwa kuzungumza nae kwa sasa kwani naishi Japan na familia yote ipo tanzania, natarajia kurudi nyumba kwa likizo fupi mwezi wa 12, kuna kipindi Mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na tumbo akampeleka kwenye maombi akaonekana Ana mapepo yaliyokuwa anadai baba yetu ndie anamloga bwana Mdogo!
Nilipopata taarifa hizo nilishtuka sana nikamuomba Mdogo wangu aende hospital kwa uchunguzi bahati nzuri Nina rafiki yangu tulisoma pamoja ni dr wa matumbo pale muhimbili, baada ya kufanyiwa uchunguzi alionekana na bacteria h. Pylori ambao walisababisha apate ulcers pia, baada ya matibabu amepona kabisa! Baba yangu ni mfanya biashara mkubwa sana na msomi Sio Kwamba najisifia ila ndio ukweli, alifanya kazi kwenye jumuia ya Africa mashariki miaka ya 80, akaamua kuacha kwa hiyari yake na kijiingiza kwenye biashara tangu miaka hiyo, anafanya biashara ulaya na Middle East na marekani, baba yangu anaweza kuwa mchawi?
Japokuwa habari hizi hazijamfikia Kama zikimfikia anaweza akapata heart attack Kama Sio stroke, kuna mama aliyemuintroduce mama yangu kwenye makanisa haya ya kilokole alikwisha fariki na cancer ya ziwa kwani alikataa matibabu ya hospital! Napata Shaka ikitokea mama kuumwa huenda akakataa Kwenda hospital pia au kuficha maradhi yake, poleni kwa post yangu ndefu, naombeni michango yenu.
Nina wasiwasi hutapata ushauri muafaka, na hata kama utaupata basi hautakuwa msaada kwako au mama yako.
Wengi watakuja hapa na kukashifu imani ya mama yako na kumuona kama mtu asiyefaa na kapotoka.
Hayo nimeyaandika kwa kutumia uzoefu tu wa kuwepo jamvini hapa muda mrefu na kuoanisha shauri zitolewazo na watu linapokuja suala la imani kali za Kikristo au Kiislamu.