Hebu tueleze huwa unatumia kigezo gani au kipimo gani kujua kuwa imani fulani haipo sawa na nyingine ipo sawa....
NB:
IMANI ni hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kuna jamaa alimfukuza mkewe kwa kesi kama hiyo...Mke aliambiwa afanye maombi ya mvua yani siku tatu mfululizo bila kupumzika usiku ni mchana.....Basi jamaa kwa kuwa alikuwa ni mtu wa kusafiri masafa marefu, siku anarudi kutoka safari amechoka atleast apumzike ale chakula cha nyumbani na mkewe;,,, ile kuingia tu ndani kakuta mke ana roroma kwa maombi wala ajigusi...
Basi pale pale jamaa alimpiga kipigo kitakatifu na takalaka juu....Mke yupo mtaani kama amechanganyikiwa anazunguka tuu...
Kwa kweli wanawake ndo wanaidanganyika na haya makanisa kwani asilimia 80% ya waumini wao ni wanawake...
Hivi hiyo appointment SCOAN nyinyi mnaipataje kirahisi...
Maana mama yangu ameomba hiyo chance ya ku visit muda mrefu lakini mpaka leo haieleweki,, kwanza alienda kwa agent wao pale karibu na Mariedo akakuta hapaeleweki utaratibu unakwendaje maana watu kibao wanalalamika,,, then tulijaza fomu kwenye website ya SCOAN na baada ya kumaliza tukapewa namba za simu za kupiga ku confirm kama inakuaje.. Hizo namba hatujawai kuzipata kila ukipiga ni busy au not rechable
Kuna njia yoyote ya kumsaidia Mama apate visiting appointment there maana amekwama kabisa japokuwa ameshajiandaa kwenda hata kesho akipata chance..
Wapendwa wanajf naombeni ushauri, mama yangu ameingia kwenye makanisa ya kilokole japokuwa familia nzima ni wakatoliki, tangu ameingia kwenye makanisa hayo maisha yake yamebadilika sana, hana ukaribu na mumewe yaani baba yetu! Kwa mfano walikuwa wanasali pamoja asubuhi na jioni pamoja sasa haiwezekani tena kwani Ana amini baba yangu ni mchafu! ashirikiani na ndugu zake yaani wajomba na shangazi zetu japokuwa wamefanya jitihada kubwa kujaribu kutafuta muda kuzungumza nae imeshindikana! Kwani anatoka nyumbani saa 11 alfajiri na kurudi usiku.
Baba yetu amekuwa kwenye kipindi kigumu sana kiasi cha kuniomba kuzungumza nae kwani Mimi ni mtoto wa kwanza kwenye familia yetu nimeshindwa kuzungumza nae kwa sasa kwani naishi Japan na familia yote ipo tanzania, natarajia kurudi nyumba kwa likizo fupi mwezi wa 12, kuna kipindi Mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na tumbo akampeleka kwenye maombi akaonekana Ana mapepo yaliyokuwa anadai baba yetu ndie anamloga bwana Mdogo!
Nilipopata taarifa hizo nilishtuka sana nikamuomba Mdogo wangu aende hospital kwa uchunguzi bahati nzuri Nina rafiki yangu tulisoma pamoja ni dr wa matumbo pale muhimbili, baada ya kufanyiwa uchunguzi alionekana na bacteria h. Pylori ambao walisababisha apate ulcers pia, baada ya matibabu amepona kabisa! Baba yangu ni mfanya biashara mkubwa sana na msomi Sio Kwamba najisifia ila ndio ukweli, alifanya kazi kwenye jumuia ya Africa mashariki miaka ya 80, akaamua kuacha kwa hiyari yake na kijiingiza kwenye biashara tangu miaka hiyo, anafanya biashara ulaya na Middle East na marekani, baba yangu anaweza kuwa mchawi?
Japokuwa habari hizi hazijamfikia Kama zikimfikia anaweza akapata heart attack Kama Sio stroke, kuna mama aliyemuintroduce mama yangu kwenye makanisa haya ya kilokole alikwisha fariki na cancer ya ziwa kwani alikataa matibabu ya hospital! Napata Shaka ikitokea mama kuumwa huenda akakataa Kwenda hospital pia au kuficha maradhi yake, poleni kwa post yangu ndefu, naombeni michango yenu.
I didn't show either of my side...that was kinda flashnews!!!

Mambo mengine magumu! Pole.
We ulitumia udikteta kidogo?? mimi mke wangu alihamishia nguo kule redio safina nikanyamaza ..kesho yake natoka zangu kwenye mishe zangu saa 4 usiku nikakuta wamejaa wanampigia maombi kidi yangu joto limempanda ghafla ...nilichokifanya hadi leo sijaona hata sura moja pale kwangu ikabidi na wife aachane na ile dhehebuPole. Yalinikuta kwa mke wangu alivyohamia kwa makanisa hayo na kutaka kuwahamishia huko watoto. Mimi nimetumia udikteta kidogo na tunakaribia mwaka wa kumi. NiPM tuongee. Pole.
Vipo vigezo vingi lkn siwezi kuvitaja hapa maana kila mtu ana uhuru wa kuamini anachoamini. Pia naheshimu imani zote, hata ambazo sikubaliani nazo. Nisingependa kuchakachua uzi wa watu , turudi kwenye mada ili mwenzetu apate msaaadaHebu tueleze huwa unatumia kigezo gani au kipimo gani kujua kuwa imani fulani haipo sawa na nyingine ipo sawa....
NB:
IMANI ni hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Mdogo wangu Ablessed put it well.
Alitakiwa achange to the better na sio to the worse. Siamini uwepo wa Mungu kwenye hilo dhehebu lake jipya ambalo badala ya kuimarisha familia linaleta mtafaruku.
Nini cha kufanya, kwakweli sijui sana maana hao watu wanakuwa kama fanatic fulani. Kama mnaweza, book appointment SCOAN pale si tu mtapata derivelence lkn pia counciling yenye lengo ya kuwapatanisha. Nafikiri njia hiyo mama yako anaweza ielewa. Be smart when presenting that issue; mama mwambie tunsmpeleka baba ili kama kuna mavitu ya ukoo au biashara yakavunjwe na familia yote iwe derivered, baba, mwambie mnampeleka mama kwa councilling kwa kuwa anaoweza kuwasikiliza ni walokole wenzake na wewe unaamini the only smart mlokole anayeweza kutazama swala lao kwa rationally ni T.B.Joshua na ministry yake ya reconciliation.
Unajua Kaunga uliyosema ni kweli sister lkn kuna baadhi ya imani haziko sawa na nadhani waamini wengine walishazistukia japo si rahisi kuzijua. Ni vizuri akaihandle hii issue vizuri. Nimeona jamaa zangu kadhaa wakitekwa na hii mitego ya imani na hasa wanapoonekana wana matatizo. Roho yoyote inayopingana na mafundisho ya kristo haitokani na Mungu . Maana hata Bwana alikua mnyenyekevu , sasa hii inayoleta mtafaruku ktk familia inatia shaka kidogo. Kama ni wakatoliki basi wajaribu pia kwenda pale ubungo EMAUS kuna catholic charismatic renewal ambapo every Saturday na sunday huwa wanakuwepo . Hata hivyo pole Mungu akusaidie tu kuliokoa hilo jahazi bro.