Msaada malware kwenye Android

Msaada malware kwenye Android

Hamjaelewa.... Hata ukiroot hyo kitu huwa haitoki coz imekuwa part ya system ukiiuninstall ukiizima Inapowaka inakwambia android upgrading ndo inaingiza tena, na sasa hvi ipo kwenye tecno, samsung even lg g2 moja nnayo hapa nimeletewa inatatizo kama hlo hilo... Mbaya zaidi zina ingia mpaka kwenye system modem/efs ya simu, so unakuta simu inakata kata network and sometimes inakuletea invalid imei number n sometimes simu inakuwa haizimi data ukiizima inajiwasha yenyewe. The only solution so far ni kufanya clean install ya os
 
Habari wana. Jf simu yangu Ina pop up kuwa kuna virus nIkiscan inasema kuna app zinaitwa Monkey test na time service n I have to uninstall them. Nikii uninstall baada ya mda zinarud tena na hcho kirusi. Mwenye msaada tafadhali.

Itakua tecno hiyo.
 
Kama mimi yani!
Simu yangu ni tecno h6
 
People drives this insane into insanity...

Niliandika thread moja kuwa fanya ufanyavyo sim haisadiwi kwa kuweka viji anti virus...

Mobi anti virus zinakuja na unwanted program called log.files ni reserved files ambazo huwa zina reside somewhere in your gadgets...
In computer we have some we called Dll files which sometimes produces temporal files..

When u do maintenance u will have to work with 'em

We always use gpedit.msc zinaitwa group policy...

Ktk sim narudia tena hatuweki anti virus na usi root kama hujui sababu ya ku root na unaporoot jua kwanza mambo mengi like "developer options"

Usiroot tu kwakuwa umeona mtu ka root...

Suala la kujiweka hizo apps ni kwa sababu ya njia ambayo uliitumia mara ya 1 ulipokuwa unairegister sim yako.. Then ili ku solve some of the other pro.. Follow what someone told u hapo juu! Na ndio njia ninayoshauri kila mara mara pamoja na nyingi nyingine,

Setting>apps manager au mobile application>clear cache..

Au ukifika hapo clean apps moja moja.. Call or text mara nyingi jioni 0673521262 ask or don't ask I don't care...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hivi unajua log file ni nini wewe? kwanini unaziita unawanted file? na ni kwanini hadi umezifananisha na dll files? so ukiona dll files kwenye computer unazifuta?
 
hivi unajua log file ni nini wewe? kwanini unaziita unawanted file? na ni kwanini hadi umezifananisha na dll files? so ukiona dll files kwenye computer unazifuta?

I don't think u understand what u are sayin' u seem little naïve..

How can u delete dll files!? Boy u are little shallow in this..

If u know nothing do not google.. Ask and we will give a free education.. Got it?
Ngoja nikueleze kitu! Mimi sijawahi kumdhalau au kumdhihaki mtu hata mmoja hata awe na elimu ndogo kiasi gani.. Lakini wewe nakudhalau sana bwana mdogo..

Kama unajua zaidi wewe si microsoft na wala c developer wa C++ why won't u say what u want to say!? People need help, why won't u help 'em all unadonoa donoa elimu ya kugoogle..

mimi niliwahi kutoa ushauri kwa watu, ukaupinga na sio tu ushauri watu wamefanyia research na hapa hata leo nimetoka kuzicheki (university of michigan) do u know anything about electronic devices)?

Why watanzania wengi wanakuwa na problem kielemu? Utajifunza kweli we bwana mdogo kwa vijielimu vyako vya kubomoa badala ya kufanya utafiti?

If u know much about dll files hebu bila kugoogle muda huu nieleze tofauti ya hizi hapa;

D3dx9_36.dll,

Mscoree.dll,

Msvcp120.dll-mss32.dll,

Msvcr71.dll

Smart aszes 'll never argue even in critics, they will fab get into it..

U want to dig it? Let's dig boy

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
hivi unajua log file ni nini wewe? kwanini unaziita unawanted file? na ni kwanini hadi umezifananisha na dll files? so ukiona dll files kwenye computer unazifuta?

And by the way, I did not say dll files zinafutwa! Nope u always take 'em into ya' ** when they miss in... So u want to know more how dll produces temp files check me oout

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
duh, maedson hujajibu swali wewe umesema mobile ant virus zinakuja na unwanted files zinazoitwa log nimekuuliza unajua log files ni nini hadi unaziita unwanted file? hauhitaji kuwa developer kujua umuhimu wa log file na kama wewe ni developer na haujui umuhimu wake na kuita unwanted file then sijui hata niseme nini.

na umezifananisha log file na dll sasa sijaelewa relationship yake ipoje hapo hebu tupe mwanga zaidi
 
Last edited by a moderator:
Ohohohohhh! Unataka kujua kupitia migongo ya watu kirahisi hivyo na ndio maana unapenda kunikosoa sana kwakuwa unataka mtu aanze kukufundisha!

Hebu rudia maelezo yangu taratibu kijana utaelewa tu, wala usinde kwa pupa, na narudia tena si kweli kwamba simu zinakuja na unwanted files zinazoitwa log file zinazofanana na dll.. Hebu soma tena halafu niulize

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ohohohohhh! Unataka kujua kupitia migongo ya watu kirahisi hivyo na ndio maana unapenda kunikosoa sana kwakuwa unataka mtu aanze kukufundisha!

Hebu rudia maelezo yangu taratibu kijana utaelewa tu, wala usinde kwa pupa, na narudia tena si kweli kwamba simu zinakuja na unwanted files zinazoitwa log file zinazofanana na dll.. Hebu soma tena halafu niulize

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

bado hujajibu swali naona unazunguka kwanini log file ni unwanted files?
 
bado hujajibu swali naona unazunguka kwanini log file ni unwanted files?

I do not have time for politics, u have pretty time to waste but I don't so just mind ya' business brother, besides I did not write for u....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
I do not have time for politics, u have pretty time to waste but I don't so just mind ya' business brother, besides I did not write for u....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

then next time usipotoshe watu log file halitakiwi kufutwa na ni very important kwenye app/software yoyote ile. kazi ya log file ni kurekodi event zote za software ikicrash, ikipata taizo tunatumia log file kuangalia wapi umekwama. mfano wa log file
server_log+file.png

hio hapo juu ni log file ya server, hizo sehemu zenye error admin ataangalia log file na kusolve.

kwa case yako ya ant virus kila inaposcan lazima ieke log file ilianza saa ngapi, ikascan nini, walipatikana virusi/malware wangapi, nk
 
Kweli wewe unaakili za kuokoteza okoteza..

Eti log files zinarecord kila kitu kinachofanywa na app/soft.. Are really prove kwakudownload data kwenye website ya wiki.r1soft.com do u know who wrote that we dogo?

Log files zinarecord! Mungu wangu wa mbinguni.. Halafu unasema unajua! Kweli..

Yaani unaweka ma powershell halafu unayapest! HahahahahahahahaahahahAaaaa... Chief chief are u chief wa kudownload? Au chief wa kuokoteza? Do u know computer or mobi save memories kijana?

Hufai hata kueleweshwa.. Microsoft wenyewe huwa wanachukua maoni kwa watu na wenyewe ni software developers and programmers!! Where are u bwanamdogo.. Kwanini unakuwA mjuaji na hujui lolote dogo?

Nimekuuliza hata tofAuti ya hivyo vi dll files hujui!! Ndo nyie nyie mnaanzisha vijituisheni vya komputa kwa watoto wawatu mnawapoteza kabisa!

Nenda shule kijana acha wiZi wizi..

Halafu mimi sikueleza tu ni utafiti umefanywa! Swali, je umewahi hata kufanya research au thesis yoyote kuhusu chochote unachoeleza?

Moja ya log file inaitwa DumpLogRecords huwa ina Scans a specified log, filters log records based on record type, and places the records in an output file stream that the caller opens.

So, umesoma kwenye mtandao neno record then ukapaste!! MtAkuja kuumbuka bure bhana!

Mimi kama kitu sijui nauliza na naelekezwa.. Microsoft developers na hata wataalamu wakubwa huwa wanafanya hivyo!

Au ahaaa, unataka watu wakutaje taje chief sijui wa nini! Chief.. Basi unatabasaaaamu.. Acha mambo ya Ajabu! Afadhali hata ungesema hivi umeeleza kitu hiki, huwa kinakuwaje?

Wewe wala..! Developer mwenyewe!!

Mimi nawapotosha embu wewe eleza kidogo unawezaje ku record mobile events na computer events kwa kutumia algorithms calculation.. Fanya hivyo kama unaweza, kama hujaanza kusoma kwenye google na kuchanyikiwa!! Nakusubiri mr. chief Uchwara

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sasa nani yuko sahihi? anayejua aje atuambie nani yupo sahihi
 
sasa nani yuko sahihi? anayejua aje atuambie nani yupo sahihi

Labda yeye yuko sahihi boss wangu.. Sidhani kama nilikuwa na lengo baya kuwajibu watu wanapohitaji msaada! Na kama ninakosea.. Si mbaya mtu kwa evidence aka prove, but huyu jamaa kila ninapotoa kitu kwa ajili yA kuwaelimisha watu anapinga bila evidence.. Sasa mi sidhani kama ni msomi huyu!

Kama mtu ni msomi anajua si anaeleza yeye!! Anatoa elimu hiyo tena kwakufanyia utafiti.. Kama kunasehemu ya activation ya windows 10 kamshauri mtu eti aangalia chini ya computer ataona keys.. Mtu akamjibu mbona sizioni akasema aah ukiona hakuna ujue hazipo..

Lakini mimi wala sikumbishia ila alikosea sana na mimi nikampa ushauri yule jamaa tena kwa kumpa website

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
JmCUBfI.jpg

hii ndio result ukisearch neno log file google kila mtu anaweza kusearch na atapata same result, citation imefanywa toka wikipedia

In computing, a logfile is a file that records either events that occur in an operating system or other software runs, or messages between different users of a communication software.

hata kama una lengo la kusaidia ila ukipotosha unataka usiambiwe? unapowaambia watu log file ni unwanted files inaleta picha gani?
 
Labda yeye yuko sahihi boss wangu.. Sidhani kama nilikuwa na lengo baya kuwajibu watu wanapohitaji msaada! Na kama ninakosea.. Si mbaya mtu kwa evidence aka prove, but huyu jamaa kila ninapotoa kitu kwa ajili yA kuwaelimisha watu anapinga bila evidence.. Sasa mi sidhani kama ni msomi huyu!

Kama mtu ni msomi anajua si anaeleza yeye!! Anatoa elimu hiyo tena kwakufanyia utafiti.. Kama kunasehemu ya activation ya windows 10 kamshauri mtu eti aangalia chini ya computer ataona keys.. Mtu akamjibu mbona sizioni akasema aah ukiona hakuna ujue hazipo..

Lakini mimi wala sikumbishia ila alikosea sana na mimi nikampa ushauri yule jamaa tena kwa kumpa website

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mtu anapoomba ushauri wa ku activate windows unatakiwa umfundishe njia za kihalali za ku activate windows. unaponunua laptop unalipia hardware (laptop yenyewe) na software ambayo ni windows. windows ya bei rahisi ni around 80,000 na inaweza kuzidi hadi 300,000 inategemea na version.

unapomshauri mtu atumie kmspico ambayo ni njia ya wizi wakati ana genuine key chini ya laptop yake inamaana ni sawa na kumdhulumu huyo mtu 80,000 hadi 300,000 yake hivyo kitu cha kwanza unatakiwa umkague kama ana genuine key.
ximg_54e2c2933930f.jpg.pagespeed.ic.OSzYKGYgv8.jpg

na si laptop zote zina key chini kuna laptop zinakuja na DOS na nyengine zinakuja na distro za linux kama ubuntu
 
Back
Top Bottom