Msaada malware kwenye Android

Msaada malware kwenye Android

mtu anapoomba ushauri wa ku activate windows unatakiwa umfundishe njia za kihalali za ku activate windows. unaponunua laptop unalipia hardware (laptop yenyewe) na software ambayo ni windows. windows ya bei rahisi ni around 80,000 na inaweza kuzidi hadi 300,000 inategemea na version.

unapomshauri mtu atumie kmspico ambayo ni njia ya wizi wakati ana genuine key chini ya laptop yake inamaana ni sawa na kumdhulumu huyo mtu 80,000 hadi 300,000 yake hivyo kitu cha kwanza unatakiwa umkague kama ana genuine key.
ximg_54e2c2933930f.jpg.pagespeed.ic.OSzYKGYgv8.jpg

na si laptop zote zina key chini kuna laptop zinakuja na DOS na nyengine zinakuja na distro za linux kama ubuntu

Nafikiri nimeshakueleza kuwa, hongera kwa kazi nzuri, endelea na kazi braza.. Wewe unajua sana tena sana hongera!

Endelea kuwaonesha vitu vikubwa vikubwa, na hapo huo ulikuwa mfano wa sehemu ya kazi zako braza.. So fanya kama vile uko juu na samahani kwakukuharibia business!

Maana naona kila topic ni unwanted unwanted na ku google maana ya log files!

Bye bye na kazi njema..

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
Kweli wewe unaakili za kuokoteza okoteza..

Eti log files zinarecord kila kitu kinachofanywa na app/soft.. Are really prove kwakudownload data kwenye website ya wiki.r1soft.com do u know who wrote that we dogo?

Log files zinarecord! Mungu wangu wa mbinguni.. Halafu unasema unajua! Kweli..

Yaani unaweka ma powershell halafu unayapest! HahahahahahahahaahahahAaaaa... Chief chief are u chief wa kudownload? Au chief wa kuokoteza? Do u know computer or mobi save memories kijana?

Hufai hata kueleweshwa.. Microsoft wenyewe huwa wanachukua maoni kwa watu na wenyewe ni software developers and programmers!! Where are u bwanamdogo.. Kwanini unakuwA mjuaji na hujui lolote dogo?

Nimekuuliza hata tofAuti ya hivyo vi dll files hujui!! Ndo nyie nyie mnaanzisha vijituisheni vya komputa kwa watoto wawatu mnawapoteza kabisa!

Nenda shule kijana acha wiZi wizi..

Halafu mimi sikueleza tu ni utafiti umefanywa! Swali, je umewahi hata kufanya research au thesis yoyote kuhusu chochote unachoeleza?

Moja ya log file inaitwa DumpLogRecords huwa ina Scans a specified log, filters log records based on record type, and places the records in an output file stream that the caller opens.

So, umesoma kwenye mtandao neno record then ukapaste!! MtAkuja kuumbuka bure bhana!

Mimi kama kitu sijui nauliza na naelekezwa.. Microsoft developers na hata wataalamu wakubwa huwa wanafanya hivyo!

Au ahaaa, unataka watu wakutaje taje chief sijui wa nini! Chief.. Basi unatabasaaaamu.. Acha mambo ya Ajabu! Afadhali hata ungesema hivi umeeleza kitu hiki, huwa kinakuwaje?

Wewe wala..! Developer mwenyewe!!

Mimi nawapotosha embu wewe eleza kidogo unawezaje ku record mobile events na computer events kwa kutumia algorithms calculation.. Fanya hivyo kama unaweza, kama hujaanza kusoma kwenye google na kuchanyikiwa!! Nakusubiri mr. chief Uchwara

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ungejua umri wake sidhani kama ungemwita DOGO
 
mkuu wewe ni wakala wa Microsoft?
 
Nafikiri nimeshakueleza kuwa, hongera kwa kazi nzuri, endelea na kazi braza.. Wewe unajua sana tena sana hongera!

Endelea kuwaonesha vitu vikubwa vikubwa, na hapo huo ulikuwa mfano wa sehemu ya kazi zako braza.. So fanya kama vile uko juu na samahani kwakukuharibia business!

Maana naona kila topic ni unwanted unwanted na ku google maana ya log files!

Bye bye na kazi njema..

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
Duuuu mkuu umekuwa ugomvi chiefmkwawa anatoa ushauri mzuri na wengi ndie mmoja wa washauri wazuri humu jamvini
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilitumia app inaitwa kingroot nimetatua tatizo.

Hata mm nili root na king root zikatoka, but I think there must be an another way out. also think Rooting is not safe, nlipomaliza tatizo nikai unroot. Saiv iko poa.
 
Back
Top Bottom