Nimejaribu kufanya malipo kwa Netflix kupitia Visacard lakini haikubali. Nilisajili kupitia App yao ila ukifika pale kuweka namba za kadi ya benki inakatalia hapo.
Nimejaribu kufanya malipo kwa Netflix kupitia Visacard lakini haikubali. Nilisajili kupitia App yao ila ukifika pale kuweka namba za kadi ya benki inakatalia hapo.
Ingia kwenye Menu ya M-Pesa kwa kubofya * 150 * 00#
Kisha chagua namba (4) Lipa kwa M-Pesa
Kisha Chagua namba (6) M-Pesa MASTERCARD
Kisha Chagua namba (1) Tengeneza Kadi
Baada ya hapo utapata taarifa zako za muhimu za kadi yako kwa njia ya SMS, hakikisha unatunza namba zako za kadi pamoja na CVC kwani hivi ndivyo unaweza kuvitumia wakati wa kufanya manunuzi mtandaoni.
Pia ukishatengeneza card rudia step namba 1-3, utaona sehemu ya kuhamisha hela kutoka mpesa kwenda kwenye kadi
Bado naendelea na ofa ya kutoa channel ya Netflix yenye unlimited bandle hutohitaji kulipa tena kifurushi . Ni wewe tu na bando lako njoo PM na ofa yako.