manento93
Member
- Jul 19, 2018
- 54
- 33
Salam,
Ndugu yangu anasumbuliwa na mapepo yanayofanya atapike sana na kuishiwa maji mwilini (Nasema mapepo maana hata vitabu vya dini vimetaja aina za pepo wachafu)
Anaongea lugha za ajabu.
Anaimba kiajabu ajabu.
Hospital wameshindwa.
Mapasta hamna kitu.
Mashekhe hawajatatua.
Yani dripu za maji mfululizo kwa wiki nzima ndiyo nafuu yake.
Wakuu tupeni uzoefu. Niko chini ya miguu yenu. Tunatatizika sana na hili suala.
Shukran