Msaada: Mahali pa Kubadili Pesa ya Israel

steagle

New Member
Joined
May 6, 2016
Posts
4
Reaction score
1
Wanajamii naombeni kuuliza ni wapi naweza kubadili pesa ya Israel. Nimejaribu kwenye baadhi ya biro na benki, lakini hawabadili.

Naombeni anayefahamu sehemu ya uhakika anielekeze.
 
Wanajamii naombeni kuuliza ni wapi naweza kubadili pesa ya Israel. Nimejaribu kwenye baadhi ya biro na benki, lakini hawabadili. Naombeni anayefahamu sehemu ya uhakika anielekeze.
... cheki na ubalozi wao Nairobi.
 
Wanajamii, niliomba msaada ni sehemu gani nitaweza kubadilisha pesa ya Israel ambayo kuna mtu amenipatia kama sehemu ya msaada wake. Ila mimi binafsi nina tatizo naombeni yeyote anayeweza kunichangia tafadhali.

Nimeona hapa ndio sehemu pekee nitakayoweza kupata msaada, baada ya kujaribu sana kwa ndugu na marafiki. Mimi ninadaiwa kodi kiasi cha sh 200,000 na ninakaa na mtoto wangu wa kiume. Ila kwa sasa nimeshindwa kupata pesa, pesa niliyopata ilibidi nilipie ada ya mtoto shuleni.

Mwenye nyumba wangu baada ya kuwa nimekaa muda mrefu amenifungia chumba, kwa hiyo nafanya kulala nje. Mimi na mtoto wangu imefika wiki sasa na vitu vyote vipo ndani ya chumba kilichofungiwa. Nilipata hifadhi kwa ajili ya kijana wangu, ila sasa ambaye alinioa huo msaada, naona naye amechoka. Mimi kwa sasa sina kazi, boss wangu alifunga ofisi, akarudi kwao.

Ila kuna sehemu ambazo nimetafuta kazi, naamini nitapata hivi karibuni. Kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia chochote, naombeni msaada wenu. Namba zangu ni 0753933281. Mimi naitwa Steven Johnson. Nadaiwa kiasi cha sh 200,000, ambapo mwenye nyumba ameniambia nikilipanhyo ya miezi ambayo imeshapita, miezi inayokuna atanipa muda nitafute hela nyingine.

Naombeni msaada wenu.
 
Cc: Mwl.RCT saidia kijana huyu abadili hela zake.
 
Huwo mwandiko mbona kama una vaib la double kiki!
Hapana ndugu nilichoandika ni ukweli kabisa..kikubwa naombeni sana kwa yoyote ambaye anaweza kunisaidia hii simu nayoitumia hapa kuandikia hzi jumbe ingekuwa na thamani nzuri ningeweza hata kuiuza nipate hiyo hela ila hata nikisema nifanye hvyo hakuna anayeweza kuinunua kwa ambavyo hali yake ilivyo
 
Pole sn bt humu jf huwa ninashangaa kila mtu ni tajiri, msomi nk ni ajabu kukuta mtu ana shida ivi aisee....!
 
Wanajamii, niliomba msaada ni sehemu gani nitaweza kubadilisha pesa ya Israel ambayo kuna mtu amenipatia kama sehemu ya msaada wake. Ila mimi binafsi nina tatizo naombeni yeyote anayeweza kunichangia tafadhali.

Nimeona hapa ndio sehemu pekee nitakayoweza kupata msaada, baada ya kujaribu sana kwa ndugu na marafiki. Mimi ninadaiwa kodi kiasi cha sh 200,000 na ninakaa na mtoto wangu wa kiume. Ila kwa sasa nimeshindwa kupata pesa, pesa niliyopata ilibidi nilipie ada ya mtoto shuleni.

Mwenye nyumba wangu baada ya kuwa nimekaa muda mrefu amenifungia chumba, kwa hiyo nafanya kulala nje. Mimi na mtoto wangu imefika wiki sasa na vitu vyote vipo ndani ya chumba kilichofungiwa. Nilipata hifadhi kwa ajili ya kijana wangu, ila sasa ambaye alinioa huo msaada, naona naye amechoka. Mimi kwa sasa sina kazi, boss wangu alifunga ofisi, akarudi kwao.

Ila kuna sehemu ambazo nimetafuta kazi, naamini nitapata hivi karibuni. Kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia chochote, naombeni msaada wenu. Namba zangu ni 0753933281. Mimi naitwa Steven Johnson. Nadaiwa kiasi cha sh 200,000, ambapo mwenye nyumba ameniambia nikilipanhyo ya miezi ambayo imeshapita, miezi inayokuna atanipa muda nitafute hela nyingine.

Naombeni msaada wenu.
New acc.
 
Back
Top Bottom