Msaada: Madhara ya kuuziwa adsense

Mr. madevu

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
432
74
Ninapenda kuuliza kama kuna madhara ya kuuziwa adsense na mtu, haswa pale inapokua haijawa verified(haijapata) barua?
 
Ninapenda kuuliza kama kuna madhara ya kuuziwa adsense na mtu, haswa pale inapokua haijawa verified(haijapata) barua?
Hakuna madhara isipokuwa pale akishakupa ni lazima ubadili address yako ili PIN itumwe kwako, kuna maeneo nyeti ya kubadili

1. Address
2. Hakikisha ametoka kabisa kuwa admin wa account hiyo
3. badili methods of payments kama kwako haifai

Kikubwa fahamu kuwa kila kitu chake ni possible kubadilisha na kuweka vyako tu na unabaki salama na account yako.

kwa maswali zaidi na Tricks mbalimbali ...Nafanya kwa bei nafuu..kwenye PM
 
Back
Top Bottom